Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Leo nimeingia kwenye kioski kimoja hapa mtaani kwetu, nikiwa na lengo la kununua bidhaa. Tatizo nilikuwa sina pesa taslimu (cash), nikamwambia muuzaji hivyo. Akanijibu kwa utulivu, "Usiwaze...
7 Reactions
72 Replies
978 Views
Je una fahamu kuhusu biashara ya Carbon Credit? Leo nataka nizungumze kidogo kuhusu biashara ya carbon Credit. Biashara ya Carbon Credit inahusu uuzaji na ununuaji wa emmision rights.Yaani uuzaji...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye uhitaji wa Canal+ anicheck inbox, used like new. Bei ya ofa. Azam pia ipo( Kifurushi chake cha mipira ni 14k tuu)
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara...
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba...
2 Reactions
1 Replies
475 Views
1. Mdau aliyekua anatafuta mashamba kwaajiri ya ufugaji wa mbuzi Mkoa wa Tanga naomba nitafute, zipo hekari saba na nusu bei ni 1,700,000 kwa heka moja ,mmiliki anauza eneo lote-0718884570 2...
5 Reactions
3 Replies
303 Views
Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.
2 Reactions
408 Replies
74K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta...
3 Reactions
13 Replies
458 Views
Kuna kipindi kwenye maisha ya kijana ambapo pesa inaanza kuingia. Mshahara umeongezeka. Biashara inaanza kutoa faida. Kazi inaanza kukulipa. Umepata gepu la kupiga pesa kazini. Mteja mmoja...
3 Reactions
6 Replies
314 Views
Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Anonymous
Mdau wa uchimbaji mdogo katika Kijiji cha Butobela, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita Vijijini, Mkoa wa Geita. Mgodi huo uligunduliwa na wachimbaji wadogo, lakini baada ya kugunduliwa, watu wenye...
1 Reactions
2 Replies
173 Views
Jamani aliye na uzoefu wa hii biashara anipe maarifa zaidi Nina mpango wa kuanza & Inatakiwa niwe na mtaji wa sh ngapi ili nifanye kwa ubora zaidi ? & Profit yake uwa inakuaje kwa anaye hijua...
3 Reactions
1 Replies
217 Views
Habari za majukumu wana-jamii, Katika ulimwengu wa sasa unaoenda kasi kidijitali, kuwa na tovuti (Website) si jambo la anasa tena, bali ni uhitaji muhimu sana kwa mtu binafsi, kampuni, au taasisi...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼 PLOT FOR SALE ⚖️Size: Square meter 6,300 📝Doc: Title deed 💰Price: 1B TZS 📍Loc: kigamboni Vijibweni Eneo ni Zuri kwa uwekezani, Yard au Godawn Call 0652180400
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Unajua kuna watu wanapata mamilioni kwa kuuza nyumba ambazo si zao, magari ambayo hawajayanunua na viwanja ambavyo hawavimiliki? Hiyo ndiyo nguvu ya biashara ya udalali! Fikiria kijana mmoja...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Nitaongea ukweli bila kupaka sukari. Mwaka 2026 mteja hakutafuti kwa kuuliza kwa jirani. Anachofanya ni kuandika Google: “Hospitali nzuri karibu nami” “Car dealer Dar es Salaam” “Law firm...
16 Reactions
121 Replies
3K Views
Habari, Baada ya kujifunza biashara ya forex kwa muda usiopungua miaka 8 hadi sasa bila mafanikio. Nimeona njia sahihi ya kufanikiwa katika biashara hii ni kupata watu sahihi wenye uzoefu na...
6 Reactions
37 Replies
768 Views
Nawasalimu wakuu woote wana JF. Mwenzenu nimepata kamshiko kama 8m sasa ninataka ninunue bajaj najua hapa mjini Dar zinatumika sana, naomba kwa yeyote mwenye uzoefu anisaidie ni Shs ngapi dereva...
1 Reactions
320 Replies
152K Views
Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki? Hebu fikiria jambo hili. Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Section 197 of the Companies Act, 2002 (R.E. 2023), any individual who is 18 years of age or older is eligible to establish and lead his own company as its CEO. Don't let another year pass...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Back
Top Bottom