Natamani nijue hii biashara maanakuna wadau walianza kama utani ila now wamefanikia namimi natamani niianze kwasababu Kila nikiaangalia demand yake haishuki Kila siku inaongezeka vip ili uanze...
Siku ya mapumzuko leo sehemu gani umekwenda kupata starehe na kupumzika
1. Ufukweni mwa bahari
2. Hoteli za kifahari
3. Migahawa
4. Lounge
5. Nightclub
6. Bustani za mapumziko
7. Spa na sehemu za...
Mambo vipi wakuu,
Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na...
We have the below collections of audio books which we sell as a package at only Tshs.142,000 for each segment.
1. Most In-Demand Career Skills ( 108 books )
2. Success in Business & Life (...
Habari za wakati huu, wana JamiiForums.
Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites...
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...
Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la...
Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo...
Ninaomba mchakato wa kununua bidhaa hasa Amazon. Nahitaji mwongozo kutoka kwa ambaye amewahi kununua bidhaa kupitia jukwaa tajwa.
Ninachotaka kufahamu ni details gani zinajazwa, hela ya supplier...
Mambo vipi wakuu wa JF!
Leo nataka tuchane mkeka mmoja wa siri sana ambao wadau wengi wa biashara hawapendi kuuvujisha kabisa. I mean tunazungumzia zile biashara zenye Marginal Profit ya kubwa...
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka...
Kununua mzigo Kariakoo ni rahisi, lakini kuugeuza kuwa faida ndiyo kazi yenyewe!
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya nguo wakiamini kuwa kupata fremu nzuri, kununua mzigo na kutangaza...
Unajua unaweza kuwa na mtaji mkubwa wa biashara ya mbolea, lakini ukashindwa kupata faida kwa sababu ya makosa machache tu?
Tanzania ni nchi inayotegemea sana kilimo, hivyo biashara ya mbolea...
Hili ni jukwaa muhimu sana kwa maendeleo muda mwingi huwa napita pita kuokoteza madini
Leo naomba tupeane uzoefu wa biashara ya maziwa ya mtindi huu unaouzwa mtaani tukianzia na:-
1. Mahitaji...
Watu wawili wanaweza kutumia AI ileile, lakini mmoja akatengeneza video inayokufanya usimame ku-scroll, wakati mwingine akapata video inayoonekana wazi imetengenezwa na AI.
Tofauti mara nyingi si...
Kuna watu wanaingia kwenye biashara kwa sababu wamesikia, “Hii biashara ina hela sana.”
Anaona mtu mwingine anauza bidhaa fulani, anapata faida kubwa, anaendesha gari zuri, anajenga nyumba na...
Leo hii, kuwa na biashara nzuri pekee haitoshi.
Unaweza kuwa na bidhaa bora, huduma nzuri, bei nzuri na eneo zuri la biashara, lakini kama watu hawajui kama biashara yako ipo, ni vigumu kukua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.