Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, naomba mwenye kujua biashara ya kuuza na kusupply vitabu na vifaa vya maabara katika mashule mbalimbali anisaidie mwongozo kuhusuiana na biashara hii kwa yale anayoyajua...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
131.Mheshimiwa Spika, kwa mwaka 2013/14 jumla ya shilingi bilioni 5,674 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, ambapo kiasi cha shilingi bilioni 2,982 kitagharamiwa kwa fedha za...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
120.Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho katika Sheria ya Usalama Barabarani, SURA, 168 ili kuongeza viwango vya Ada ya mwaka ya leseni za Magari (Annual Motor vehicle Licence...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi benki za hapa nchi kwetu zinanunua ATM mtumba au vipi? kwa sababu wanatuibia sisi wananchi kwa kutoweka pesa kwenye mashine husika ndani ya muda mwafaka pindi zinapoisha au kupungua kana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Business name to be registered. Where a business name is carried on under two or more business names, each of these names must be stated. Postal address...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mdau alipost kuhusu milango ya chuma, gharama na utengenezaji wake. naitafuta siioni na hata nkisearch hola. niwekeeni link plz
0 Reactions
0 Replies
4K Views
How can SME's increase employee Engagements under Economic/Resource constraints Changamoto ya kufikia Uwajibikaji, Utendaji bora, Uadilifu, Umahili na Ubunifu(Effective and Efficient...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbona serikali inatangaza kila mwaka kupanda kwa uchumi wa tz wakati ndo maisha ya wananchi yanavyozidi kuzorota....
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilifungua account benki ya CRDB mwezi wa March 2013. Waliniahidi kunipatia kitabu cha hundi baada ya wiki mbili. Imebakia saa moja kuingia mwezi wa june 2013 wameshindwa kabisa kunipatia kitabu...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge KWA UFUPI Hata hivyo, katika majibu ya Serikali, Waziri Mgimwa alisema Serikali imeanza kulipa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naombwa kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja.. 1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke? 2; Je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiu yangu kubwa ya kujiunga na hii bank ilikuwa ni kupata mkopo, yapata zaidi ya miezi sita sasa toka wamesitisha huduma yao ya mikopo, service fees yao ya kila mwezi ni kubwa ile mbaya, kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Greystone Holdings is the managing company for its various subsidiaries which are involved in land development activities. The company has planned projects for over 1200 Affordable houses...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza kabisa salaam wakuu... ...pili,niko hapa kuwafahamisha kuhusu biashara tajwa hapo juu kwa atakayehitaji. Biashara hii inapatikana kwa wingi..............kiwango cha juu ni tani 25,000...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dodoma. Changamoto zinazowakabili wakopaji wadogo katika taasisi za fedha nchini, ni riba kubwa inayotozwa na mabenki na taasisi zake, Bunge lilielezwa jana. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajukwaa naomba msaada nifahamishwe jinsi ya kujiunga na huduma ya mobile banking ktk benki ya ACB. Nikipata msaada mapema ntashukuru maana it's kind of an emergency
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Attention ambitious, motivated entrepreneurs and those with network marketing (MLM) experience in Tanzania! Don't miss this chance to listen to and learn from legendary home based business...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
wakuu nahitaji kufahamu, namna mbalimbali za kufnya ili nisajili biashara Nina jina la biashara, nataka nilimiliki kabisa biashara yangu inamalengo mapana kwa maana itaanza kidogokidogo kutokana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
natafuta wadhamini wawili walio wanachama wa tajirika saccos ltd,tabata kimanga,ikiwa wamo humu barazani,tukutane pm wanifanyie scrutiny na tusonge mbele, nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau, nilienda wenye ofs za T-pesa kuulizia utaratibu wa kupata huduma hii (kuwa wakala) nkajibiwa kuwa huduma hii imesitishwa, labda kama kuna m2 anayetaka kuuza laini yake unaweza kununua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom