Automatic teller machine (atm) za bongo zina kera sana

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Hivi benki za hapa nchi kwetu zinanunua ATM mtumba au vipi? kwa sababu wanatuibia sisi wananchi kwa kutoweka pesa kwenye mashine husika ndani ya muda mwafaka pindi zinapoisha au kupungua kana kwamba hawajui kuwa mashine yao ya eneo fulani iko kwenye hali gani. Pia masuala ya ubovu wa ATM yanachukua muda mrefu kushughulikiwa mpaka kero na sual la mtandao (network) kusumbua au kutopatikana pindi unapotaka kupata huduma ya ATM . Utakuta unaweka kadi inasoma na kufanya zile hatua husika za kutoa pesa yako ila mwisho unaishia kukuta kuwa pesa hakuna, jamaa hawa CRDB,BACLAYS, NMB, na wengineo wenye tabia hizi mjirekibishe kwani mnaboa sana , wakati sisi wateja ndo dhamana ya uhai na kushamiri/ kustawai kwa biashara yenu.
 
Sina hamu Mie na ATM za bongo nilienda kununua kitu pesa haikutosha, nikaona nizame Barclays nikachukue mpunga du!! Card ikakataa kutoka ikanipa risiti ikionyesha pesa zimetoka wakati sikuzipata!! Sina ham kbs!
 
Barclays unatoa hadi buku 2,Hawa jamaa wa ATM WASHENZI SANA HAWAWEKI ELFU 5 WAO WANAWEKA BUKU 10 TU NA USIROGWE UTUMIE VIZA YANI INAKUWA BLOCKED USA KWHYO HAUTUMII MPAKA VISA WAKATE CHARGES ZAO NDO UNAWEZA KUDROO MPUNGA.,mi atm mingi haina hela out of service
 
Hivi benki za hapa nchi kwetu zinanunua ATM mtumba au vipi? kwa sababu wanatuibia sisi wananchi kwa kutoweka pesa kwenye mashine husika ndani ya muda mwafaka pindi zinapoisha au kupungua kana kwamba hawajui kuwa mashine yao ya eneo fulani iko kwenye hali gani. Pia masuala ya ubovu wa ATM yanachukua muda mrefu kushughulikiwa mpaka kero na sual la mtandao (network) kusumbua au kutopatikana pindi unapotaka kupata huduma ya ATM . Utakuta unaweka kadi inasoma na kufanya zile hatua husika za kutoa pesa yako ila mwisho unaishia kukuta kuwa pesa hakuna, jamaa hawa CRDB,BACLAYS, NMB, na wengineo wenye tabia hizi mjirekibishe kwani mnaboa sana , wakati sisi wateja ndo dhamana ya uhai na kushamiri/ kustawai kwa biashara yenu.
Daah mkuu mim nimekubali jina lako tu hilo ni kitabu cha adolf hitler..nilikisomaga kwenye history..daaah..my struggle ogopa sana..usiwaze nimetoka out of point...!!!! Mein Kampf...!!!!
 
Back
Top Bottom