Msaada hatua za kusajili biashara.


mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
wakuu nahitaji kufahamu, namna mbalimbali za kufnya ili nisajili biashara

  • Nina jina la biashara, nataka nilimiliki kabisa
  • biashara yangu inamalengo mapana kwa maana itaanza kidogokidogo kutokana na hali ya mtaji kuwa mdogo
  • nategemea ije kuwa na na matawi ili nitumie jina moja na matawi au niite vitengo. kwa mfano ikiwa ni afya nikaita Tanzan health services Enterprises kama jina kuu, baadae nataka niwe na Phermacy, Labaratory, Dispensary,nk
  • Kwa mfano huo hapo juu ili nisajili jina la biashara yangu nifanyeje?
  • huu ni mfano tu si biashara halisi.
  • TRA wakitaka mapato naanza kulipa soon nikianza
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
  • kuna uhusiano wowote wa kuweka bango la biashara katika site yangu na Watu wa mapato?
  • Mapato kwa mwaka au ni kwa mwezi, je ni shng ngapi
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,909
Likes
1,408
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,909 1,408 280
best kwanza kaibisa hongera sana kwa kupiga hatua kama hiyo iyo ndo tunataka watanzania wajiajiri na sio kutegemea ajira toka serikalilni

mambo yafuatayo yatakiwa uyafanye:-

a) Nenda BRELLA kasajiri kampuni yako na jinalako la biashara kama uko dar es salaam ofisi ziko lumumba street, mnazimoja jengo la ushirika

B) Nenda TRA kuchukua fomu za TIN, LESENI uzijaze kisha uzirudishe

c) fungua fremu yako kama bado hujafungua au sehemu yako ya biashara

Ukipata vitu vyote hivyo sasa unaweza anza biashara unayotaka kufanya,
kuhusu kutengeneza bango mm nimtengenezaji, na pia ni mchapishaji wa business card, brochure, vitabu, Tshirts n.k unakaribishwa sana kwa majadiliano na huduma pia QUOTE=mansakankanmusa;6548003]
  • kuna uhusiano wowote wa kuweka bango la biashara katika site yangu na Watu wa mapato?
  • Mapato kwa mwaka au ni kwa mwezi, je ni shng ngapi
[/QUOTE]
 

Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060