Dar es Salaam. Kampuni ya Ndege ya Fly540 imesaini makubaliano na Shirika la Ndege la Qatar Airways, yenye lengo la kuwezesha abiria wa Qatar Airways kuendelea na safari za ndani na kanda kwa...
Tanzania says it has made capacity building its priority to ensure that the massive discoveries of oil and gas reserves in the country are gainfully utilised
.
President Jakaya Kikwete...
Wana JF,
Leo napenda kuwashirikisha njia ya kisasa ya kuongeza kipato kupitia mfumo wa biashara ya karne ya 21 ambayo imeelezwa na waandishi wengi kama vile milionea Robert T. Kiyosaki...
As Featured on the TV Show of America's Most Well Known and Trusted Doctor and Voted ‘Product of the Year' in the U.S! Introducing the World's 1st Healthy Energy Drink!" Contains NO...
Imekuwa ni mazoea sasa kila siku kuwasikia viongozi na watendaji hasa wa jeshi la polisi inapotokea maafa kama ya milipuko ya Arusha kutangaza kuwasaka wahusika popote walipo na kuwachukulia...
Jamani mi naomba kuuliza ivi bank zote wanakata hela kila mwezi kwenye account ya mtu hata kama hajatoa helayoyote. Hii imeniumiza sana baada ya kukuta helazangu zimelabwa huku ukizingatia ni hela...
Waziri wa Fedha Dk. Wiliam Mgimwa akionyesha begi lililobebea Bajeti kuu ya Tanzania mwaka 2013/2014 nje ya ukumbi wa bungeni mjini Dodoma
KWA UFUPI
Bidhaa nyingine ambazo pia zilipewa msamaha...
wadau naombeni msaada wa wapi naweza kuinunua hii baisker kwa bei nafuu popote tanzania?? niliwai kua nayo mwanzo kuna mtu aliniletea toka zanzibar mpaka naimiliki nilitumia tsh 180000.,sasa nw...
naweza wekeza kitu gani..nina kiasi cha shiling milion 1 na nusu nataka niwekeze katika chuo kikuu saut mwanza hapa choni kuna vitu vimewekezwa mfano stationary.duka la mahtajimadogo...
Maoni ya Katuni
Bajeti ya mwaka 2013/14 ni ya kwanza katika historia ya bajeti ya serikali kusomwa baada ya wabunge kujadili bajeti za wizara zote. Na kama ilivyo kawaida kwa bajeti zote...
Hivi ni vitu gani The Memorandum of the Company na Articles of Association?
hasa hii article of assciation inahusika na nini?
na je ni lazima hata kama sijaanza biashara nisajili au nianze...
Habari wadau!
Nahitaji mtu mwenye registered company, location ya biashara na contacts za wateja wa bidhaa hizi ani pm
Construction / Building Materials
Aluminum Composite Panels
Aluminum...
wadau naomba msaada wenu kuna hawa jamaa wa button pay wanatoa huduma za uwakala wa luku star times na vocha za kurusha na modem topup mitandao yote je kamishen zao zimekaaje na vp uhakika wao...
Im looking forward to sharing posts from time to time about things Ive learned in my career at Microsoft and the Gates Foundation. (I also post frequently on my blog.)
Last month, I went to...
Hi, JF,
Ninaamini JF ni jukwaa lenye watu wengi wanaoishi sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya Tanzania. Naombeni msaada kwa anayefahamu sehemu ambayo naweza kupata sustainable supply ya Ngano...
Kutumia ATM za CRDB zilizopo kwenye supermarket ,petrol station au zilizojengwa eneo mbali na branch ni hatari ,kadi ikizama unahipata after one week kama uko safarini ni hatari sana kuzitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.