2013/14 bajeti:viwango vipya vya motor vehicle licence fee


Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,419
Points
2,000
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,419 2,000
[FONT=&quot]120.Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho katika Sheria ya [/FONT]
[FONT=&quot]Usalama Barabarani, SURA, 168 ili kuongeza viwango vya Ada ya mwaka ya leseni za [/FONT]
[FONT=&quot]Magari (Annual Motor vehicle Licence Fee) kama ifuatavyo: [/FONT]
[FONT=&quot](i)Gari lenye ujazo wa Injini 501.cc –1500.cc kutoka kiwango cha [/FONT]
[FONT=&quot]sasa cha shilingi 100,000 hadi shilingi 150,000;[/FONT]
[FONT=&quot](ii)Gari lenye ujazo wa Injini 1501.cc – 2500.cc kutoka kiwango cha [/FONT]
[FONT=&quot]sasa cha shilingi 150,000 hadi shilingi 200,000;[/FONT]
[FONT=&quot](iii)Gari lenye ujazo wa Injini zaidi ya 2501.cc kutoka kiwango cha sasa cha shilingi 200,000 hadi shilingi 250,000.[/FONT]
[FONT=&quot](iv)Magari yenye ujazo wa Injini chini ya 501cc hayatatozw a Ada ya [/FONT]
[FONT=&quot]leseni za magari.Hatua hii itatekelezwa kupitia tangazo litakalochapishwa kwenye Gazeti la Serikali.[/FONT]
[FONT=&quot]Hatua hizi kwa pamoja zinatarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha[/FONT][FONT=&quot] shilingi milioni 19,710.90[/FONT]
 

Forum statistics

Threads 1,284,835
Members 494,294
Posts 30,841,823
Top