Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub. Nianze na nini na nini? Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO...
1 Reactions
2 Replies
299 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm nina noah new model kutokana na shida za usafiri mara nyingi huwa napakia vichwa(abiria) pale Magufuli na kuruka mkoani chapu nakurudi ila sijui ikitokea...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
RAIS SAMIA AWAPA STAMICO LESENI KUBWA YA UCHIMBAJI MADINI YA NIKELI KATIKA ENEO LA NTAKA NACHINGWEA-LINDI ▪️Ni hatua ya kuiimarisha STAMICO kiuchumi ▪️Aelekeza Wachimbaji wadogo kupewa leseni za...
0 Reactions
6 Replies
494 Views
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2? Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi) Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile...
26 Reactions
61 Replies
11K Views
Unataka biashara yako itambulike kisheria, iaminike na ufanye biashara yako bila wasiwasi? Basi LESENI YA BIASHARA ni kitu cha lazima kwa mafanikio yako! Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
#JusticeForPeachyVillage #SamiaTusikie #TanzaniaYaHaki #StopCorporateImpunity #Uchaguzi2025 #TunakufaKimya Mama Samia Suluhu Hassan — Mmehimiza Watanzania tujiajiri. Tujitume. Tuvumilie. Sisi...
0 Reactions
22 Replies
813 Views
Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kujuwa bei ya mahindi songea.
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze. Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft Bei za Dry Containers (Offer till 20th July) 20Ft - Tsh 4.3M 40Ft - Tsh 6.3M Bei za 40Ft Reefer Containers (Offer till 20th July) 40Ft - Tsh...
0 Reactions
4 Replies
648 Views
Kuna watu kibao humu JF walituasa kwamba Forex ni utapeli hilo kwanza napingana nalo kwa nguvu zote sababu sio kweli kwamba forex ni utapeli kabla sijafunguka mengine niwathibitishie...
163 Reactions
1K Replies
159K Views
kufunga mauzo (closing sales) ni hatua nyeti sana. Unaweza ukawa umewekeza muda, pesa na nguvu nyingi kutangaza, lakini kosa dogo kwenye hatua ya mwisho likakugharimu kila kitu. Hii ndiyo sababu...
2 Reactions
3 Replies
590 Views
..
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Ivi kuna mtandao wa kibank kwa sim banking unaokera kama CRDB?
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Heshima kuu ziwafikie Wadau.. Katika biashara ambazo kukweli naona zina pesa ndefu na ikiwa moja ya biashara ya ndoto yangu pia moja wapo ni hii ya kuendesha kituo cha kuuza mafuta (PETROL/GAS...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nimeamua kuthubutu. Nataka kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta (petrol & diesel). Ninapanga kuanza na na pampu mbili tu. Je ni mambo yapi ya msingi ninayopaswa kuzingatia ili kuanzisha kituo...
0 Reactions
416 Replies
144K Views
Wadau wenye kufahamu. Je katika kuanzisha Fuel filling station kubwa maeneo ya mjini kama Dar es salaam, Je kuna kigezo cha umbali kati kituo kimoja cha mafuta kwenda kingine vilivyo upande mmoja...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…