JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwaka 2017 ndio huoooo unayoyoma hakika huu mwaka umekuja na unatuacha na mengi. Umetuletea marafiki na maadui. Kwa kuuaga huu mwaka TUMA SALAAM kwa watu watatu. Wape na ujumbe kuelekea 2018...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi na bby wangu Daby tunawatakia usiku mwema..
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Leo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au...
20 Reactions
110 Replies
9K Views
Kwa wale wapenda story usisite kupita hapa. Tuje tupeane mawili matatu na kubadilishana mawazo, kupunguza msongo wa mawazo. Tuko mubashara!
8 Reactions
554 Replies
38K Views
Kwanini watu wengi wakianza kulewa huanza kubandua makaratasi ya chupa ya bia?
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
5 Reactions
92 Replies
6K Views
wasichana wenzangu amani ya Mungu iwe juu yenu. Kuna habari fulan mtu kanieleza imepelekea niamue kuwashauri juu ya hili. Ni hivi, Nawashauri kama una rafiki yako mnapendana kiasi cha kuwa kama...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Wengi tumesoma na tunajiendeleza kielimu ili ku secure nafasi zetu za ajira maofisini. Elimu zetu zimekuwa ni matumbo joto kwa mabosi tuliowapita kisomo. Elimu zetu zimetujengea maadui wengi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
habari wana JF! Nmekua naona wanaume /wanawake wanaotaka kuwa kitu kimoja(kuoana) kuna kamsemo ''ndio chaguo langu'' kumbe mtu anaangalia vigezo vya maslahi. Hili lipo zaidi kwa akina dada...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
5 Reactions
330 Replies
36K Views
Nafasi za jkt zatoka Lini?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda...
5 Reactions
333 Replies
36K Views
Kailash Sing ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 65 hajawahi kuoga wala kukata ndevu zake tangu alipooga kwa mara mwisho kabla ya sherehe ya harusi ya kumuoa mkewe, mwaka 1974. Sing anaelezea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa...
6 Reactions
350 Replies
17K Views
Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ? Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?
1 Reactions
69 Replies
9K Views
Ziro alimwambia babake haendi shule tena,akaulizwa kwann?akajibu inaelekea walim hawana hakika na majibu yao;juzi walisema 5+2=7,jana 3+4=7,leo 6+1=7 na kesho huenda watasema 7+0=7 sasa huo si...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukipata ugonjwa wa zinaa unaanzaje kumwambia daktari?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Loh Yawezekana umeanza ogopa..la hasa aijatoka kwa pdidy...tangu jumamosi wapendwa natumiwa msg ifuatayo nkaona si haba niwashirikishe hasa wenzangu wale wanaotarajia kuoa..nibanfsi nilimjibu...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…