JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Never walk without a document in your hands People with documents in their hand look like hardworking employees heading for important meetings. People with nothing in their hands look like...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
wanajamvini nimekua nikijiuliza kwa nini dada zetu huvaa vichupi na sidiria tu kwenye video za muziki na baadhi ya movie? Alafu wana kuwa wakicheza staili za chumbani!! Hebu tulijadili hili tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi humu JF kuna wapenzi wa Taarab kweli? Mimi napenda sana Taarab aisee. Napenda midundo yake. Napenda jinsi nyimbo zake zilivyo ndefu. Unasikiliza hadi unaridhika. Napenda jinsi watunzi na...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Kumekuwa na matumizi mabaya ya R na L mfano amerara badala ya amelala .Kibaya zaidi hata humu Jf wanayatumia vibaya.Kuna gazeti moja leo limetoa makala yenye upungufu huo.Nini kifanyike?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hellow..Single mamma wezangu mkuje hapa tushauriane mambo mbalimbali kuhusu maisha na malezi ya watoto wetu
2 Reactions
29 Replies
2K Views
EPISODE 04 Na mende msafi Previously in JF talk garden Nyani Ngabu: (huku akimgeukia mende msafi) hey you dude, hivi unajua bei ya shati uliloligusa. Bei ya hiyo shati ni sawasawa na kontena 9...
2 Reactions
3 Replies
714 Views
Wakuu naomba tupeana uzoefu hapa kwa sie tuliowahi kuibiwa simu,, Ilikuaje ukaibiwa , ulijisikiaje na ulireact vipi hii itapelekea kujifunza namna ya kuepuka kuibiwa tena na namna ya kufanya...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kuna huu utan kati ya wanaume wa dar na wamikoan Huu utan ni wa kitambo sana na sijui hata kama utaisha...
3 Reactions
102 Replies
6K Views
Mh.Lazaro Nyalandu Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari? ase hii bar yangu pendwa naona kama wameifunga? nimekuwa mkiwa kitaa,,nikitoka job ni ndani..vipi kuna spot nyingine nzuri? na je wataifungua lini hii liquid?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanaume wa Dar es salaam piteni hapa.
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Mwanamke ni tabia wala sio wowowo au shep yake Lakin tusiwe wanafiki sisi wanaume huanza na shep kwanza...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani. Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika... +Mkifika hamchimbi kaburi. +Hamumlilii marehemu +Hamumswalii...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni hivi sasa hivi nipo mbioni kuja Dar es salaam, pia nitakaa kama mwezi mmoja hv, sasa wasiwasi wangu ni kwamba ni mitaa gani nitakuwa napata chakula (vyakula kama vya huku mikoani)maana naogopa...
1 Reactions
11 Replies
978 Views
Mmeanza kudate na mwenyewe umeridhika kuwa nae, mmekutama chuo na jamaa ni kupanga anakusaidia assignment. Umeona si vibaya kwenda nae nyumbani ukiamini kuwa hii pia security yako kuwa...
1 Reactions
9 Replies
895 Views
Mmh. sina cha kuongeza!!! Nilienda kumzika ibilisi wangu! Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi sijui niliweza vipi kupona. Dereva na mke wangu walifia pale pale kwenye eneo la tukio. Tulikuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nasikia eti ugali wa dar ni mlaini kiasi kwamba ukitumbukiza sarafu ya shilingi hamsini, inazama...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Dah! Nikimkumbuka Uyu Mtu Huwa Naenjoy Mbayaa,,,,,, Nlipenda Tafsiri Yake Ya Kuvunja Mbavu Ila Pale Anapomalzia Jina Lake Ndo Utamu Wa Kuendlea Kuangalia Movie Unaponijia,,,,, Rufufuuu,,,, Rest In...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Msimu mpya Wa DJ sepetu interview unazinduliwa rasmi jumapili hii! Katika moja Na mbili ni DJ sepetu akiwahost members wote Wa kike Na kiume msimu huu. We are very humble kuwatangazia kuwa msimu...
8 Reactions
436 Replies
22K Views
Back
Top Bottom