Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,470
- 25,390
Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
Mkuu naxhindwa hata nicomment nn maana naogopa kupoteaHivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
usiogope mkuu ni imaginations tu.Mkuu naxhindwa hata nicomment nn maana naogopa kupotea
aiseeeehNi suala la muda tu, aliyempa Magu PHD ni profesa Buchweishaija, sasa hivi naye kapewa kazi na Magu TIB kuwa kwenye bodi ya wakurugenzi
Mkuu aliishasema hajaribiwi au umesahauusiogope mkuu ni imaginations tu.
Hili mbona liko wazi ...wanasiasa hawahusiki!
Kwani Magufuli kitaaluma ni nani??Hili mbona liko wazi ...wanasiasa hawahusiki!
Nakumbuka ila nimejaribu kuwaza tu nikaona si mbaya niwashirikishe na wadau wangu wa nguvu wa jf.Mkuu aliishasema hajaribiwi au umesahau
Swali zuriKwani Magufuli kitaaluma ni nani??
Sipati picha, hivi thesis ya Dr. iko wapi? Nasikia UDSM ilihamishwa siku nyingi na ukihoji sana Ben Saanane alipo ndipo utakapo kuwepo
Hoja yako ya kipuuzi sana kwa maana hata waliotumbuliwa wengi wao ufanisi wao ni mkubwa ingawaje vyeti vyao vinasemekana kuwa ni feki.Hebu nenda kajaribu kumgusa kwenye Mathematics au Chemistry ndo upime uwezo wake kuwa je anavyeti feki au lah!
Utapata majibu.
Kama hukwenda kuumbuka unaitwa wewe Bashite huko.
We umesema vishazi huru na vitenzi vikurupushi vyako huko unataka kuja kumpima mwanasayansi kama Mugu wewe!!!!?