Karibuni Baraza la Kahawa

Enheee, niambieni hapa mtaani nani anampiga miti nani? Hivi yule binti wa Mze nani, anapatikana kivipi?
 
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
 
Moods
naomba mfanyie marekebisho huu uzi isomeke Baraza la Kahawa si baraza la kawaha

ccMoods
 
Arabian huo ubinamu wenu na nyoka mzee ni wahalali kweli!!!!????

Usije ukamteka jitani yangu bhanaa bila taarifa

[HASHTAG]#Nyoka[/HASHTAG] mzee#
Hahaha jirani mashkhof ,hahaha sie mabinamu kweli acha wivu jirani ,hatekwi mtu kama ww upo
 
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
Hahahaha ,kanunua gari kalipwa mafao yake ,alikuwa anaidai serikali,Huyo mama mwenye veti feki walimsingizia tu vyeti vyake original kabisa ,kwahiyo karudishwa job
 
Back
Top Bottom