My mom called me a son of a bitch, so I slapped the shit outta her cuz aint nobody talkin like that about my mom, Then I hit my self cause no one hits my mom, Then my mom hit me cause no one hits...
[emoji121]
NAOMBA SOTE TUITIKIE DUA NJEMA WAKUU,
[emoji120][emoji120][emoji120]
NAOMBA FORM 4 WANAOTARAJIA KUANZA MTIHANI WA TAIFA KESHO
WAPATE ALAMA ZA KUWAWEZESHA KUJA KUBETI TU ILI TUPATE...
Wadau kuna muda unajikuta uko mapenzini kabisa na hawa watu maarufu, iwe kwenye burudani siasa au michezo.
Inafika muda huli hulali unamuwaza yeye, kutwa kucha unashinda kwenye page zake za...
Habari wandugu!
Nimekuwa nikipitia comments kadhaa humu jamvini.
Siku za hivi karibuni kuna neno linatumika sana humu jamvini hususani kama mada inamhusu ndugu yangu mmoja hivi.
Wengi...
wakuu habarini za mida hii...
tumeshaskia/tumeona mara nyingi sana sifa za wanaume wa dar vs sifa za wanaume wa mikoani na imefikia hatua mpaka matabaka yanajitokeza kwenye thread...
Mademu mkienda geto kwa boy friend zenu mnapokuwa mnafanya usafi siyo kila karatasi ukiona lazima utupe, ukiona:
Man U ..lose
Arsenal ov2.5
Chelsea..win
Man city..win
Usitupe, hiyo ni nauli yako...
jamaa mtu mzima kakaa anawapigiwa stori washkaji zake!
"kuna siku tupo porini niko nakatakata nyama ya swala nipakie garini nikakata mguu na paja nikaweka mabegani"mara ghafla simu ya jamaa ikaita...
SIRA 9:17-18
Kazi ya mtu mwenye juhudi itapata sifa;kiongozi wa watu sharti awe hodari katika maneno yakem
Mtu aropokaye ni kitishio mjini kwake;mtu mwenye maneno ya hovyo huchukiwa.
Habari wakuu. Tunapokaribia kuumaliza mwaka nimeona sio mbaya nikashiriki nanyi hii list ya wana Jf watano walionikosha kwa mwaka 2016.
5. MSAGA SUMU
Huyu jamaa ni umiza kichwa usije ukamchukulia...
Katika maisha kuna wakati unafanya maamuzi lakini mwisho wa siku pasipo kutarajia,Maamuzi hayo yanatoa matokeo mabaya mara nyingine ya kuumiza sana unabaki tu kujutia.
Niliwahi kupewa story na...
Ndo ivo, nimetoka kulipia bill ya salon Tsh 12,000! Japo uchumi unabana, ila nimeona pana unafuu na invoice niliyopigwa na yule wa mwanzo aliyeniambia nimtumie Tsh laki moja kwa ajili ya salon, na...
Habari zenu,
Tangu najiunga JF miaka miwili nyuma nimekua nikiona tabia ya baadhi ya member humu wakiwa na tabia ya kubeza wenzao kwamba ni watoto ama ni wadogo na wengi wamekua wakipata gadhabu...
hebu tukumbushane baadhi ya mikwale tulalowapinga wazazi wakati tukiwa shuleni na vyuoni ili tujipatie pesa kwa visingizio ,hakuna asiyejua maisha ya shule yalivyo mangumu ni zaid ya magufuli...
Nawpa tahadhari tu Mademu... Mkienda getto Kwa jamaa ZENU msipende kufagia Kila KARATASI unayoiona.....
Ukikuta karatasi imeandikwa
Man utd #win
Psg #win
Liverpool #lose
Napoli #win
Arsenal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.