Kubandua Makaratasi ya chupa ya bia.

Niliwahi kumuuliza mmoja akanambia ni mazoea tu kwani hata ye huwa hajui kuwa anayabandua mpaka umstue
 
'Today 10:08 PM'
Inaelekea upo bar unamchora tu jirani yako, dhumuni ni kama vinywaji vinafanana basi ni rahisi kutofautisha ila kumbuka "Pombe Noooma!"
 
inawapunguzia kazi ya kusafisha chupa kiwandani ili uzalishaji uwe wa fasta zaidi bia zisiishe kabisa bar.
 
..akisha maliza kubandua karatasi, atamimina kinywaji chake kwenye glasi-hapo atajaza mpaka imwagike ndo atashtuka kuwa imejaa!
 
Wanapunguza ukali wa pombe,cause alcohol volume imeandikwa kwenye hivyo vikaratasi,hivyo wakivitoa na kilevi kinaondoka,ingeandikwa kwenye kinywaji nadhani wangekuwa wanamwaga!!!!
 
Wanapunguza ukali wa pombe,cause alcohol volume imeandikwa kwenye hivyo vikaratasi,hivyo wakivitoa na kilevi kinaondoka,ingeandikwa kwenye kinywaji nadhani wangekuwa wanamwaga!!!!

Mkuu, hivi ID yako ina aana gani vile? Na hiyo avatar je? Lolest!
 
nadhani ni kuogopa kubambikiwa idadi ya bia,so ikifika wakati wa kulipia bili unahesabu vikaratasi tu..!
 
Kuna siku nilimuuliza chali mmoja logic ya kubandua label akanijuza kuwa inamprotect mtu kumpa ofa pasipo kupenda maana baa kuna mchezo mtu anakuona unakunywa bia fulani anamwambia mhudumu peleka pale tusker mbili kisa ameona label. Sasa ukibandua hajui ni kinywaji gani unatumia, sasa sijui kama inaukweli?
 
No..no...noooo!
Kama tumekaa pamoja, wewe unakunywa heineken, mimi Ze Bingwa, au Ze Kick, lazima ibanduliwe label ili nisishtukiwe na wapita njia.
Ha ha haaa!
 
Haya mazoea yanajengwa na bia za baridi.....karatasi la lebo ikilowa inabanduka kirahisi.....ila baada ya muda inakua tabia...
 
Ni kutokujiamini tu na wanachokifanya.
unatakiwa ujue wewe mwenyewe ndo uloagiza hiyo bia sasa kwanini hutaki watu wajue unakunywa bia gani?
je? ingekuwa carlsberg beer ungebandua ganda?

lakini pia kuna watu wanaobandua kwa sababu za kipromotion kama waigizaji hubandua lebo za bia iliwasionekane wanaitangaza bia yenyewe kupitia igizo lao.
 
hii tabia watu wameiga kutoka kwa madada.kama unampa somo mdada ukaona anaanza kubandua karatasi jua amekwisha.
via Mobile
 
Kuna ivi vibia vya siku izi vimebandikwa karatasi mfano wa karatasi ya sigara mpaka kwenye mdomo wa chupa, sasa kabla ya one sip ama baada ya sip moja inabidi uibandue au uikunjue hiyo karatasi, otherwise utakunywa na kula karatasi. Mathalan, Ndovu na castle lite zina karatasi mpaka kwa mdomo wa chupa!!!
 
Jamani katika maisha ukiwa unafuatilia vitu vidogo vidogo...unaweza cheka cheka mwenyewe kama chizi.
Achiliambali kubandua makaratasi ...kuna mijitu mingine ikiwa ina kojoa ina jamba jamba bila kujali kama chooni kuna watu wengine....taabu kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom