Hi;napenda wanaume kama wewe!!piga simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi;napenda wanaume kama wewe!!piga simu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Apr 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  Loh
  Yawezekana umeanza ogopa..la hasa aijatoka kwa pdidy...tangu jumamosi wapendwa natumiwa msg ifuatayo nkaona si haba niwashirikishe hasa wenzangu wale wanaotarajia kuoa..nibanfsi nilimjibu amechelewa nina mwenza bado akaendelea kutuma anayoweza msg ilikwua ifuatavyo

  "'Hello Dear habari zako.. samahan najua unijui sikujui nimeonyeshwa picha yako na rafiki yangu mmoja kwa kweli nikiwa kama mwanadada nieleze hamu yangu kwako natamani penzi lako,,naomba kama waweza wasiliana na namba hiii ntafurah zaidi..wako akupendae
  Irene

  Hii n msg niliopokea na namba 0652 45 63 20

  Badda ya muda akantumia picha zake mbali mbali..anyway nikamjibu kama nilivyosema hapo juu akangangana anaomba hata niwe nae usiku mmoja..nilimweleza nashukuru muda umepita wakati huu nina wa kulala nae masaa 24...Badda ya hapo akantumia msg nyingine naomba kama una rafiki kama wewe unitumie namba yake natafuta mchumba wa kuzaa nae..sikujibu maana nikaona tunapoenda tutaanza kumlalamikia shetwan buree..akatuma msg za ajabu nikaona si haba kaama amedhamiria yawezekana kupitia JF tukapata shemeji mzuri atakaemliwaza kama si kumwibia....

  kama uko kwenye mchakato wa kijivu gamba la ubachela basi angalia hiyo namba ujimulike kama waweza vaa vazi la chama cha walala u*** tanzania(VCCWUT)..Nni dada mzuri naomba mwenye kuhitaj asisite kwuasiliana nae
   
 2. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ondoa hii msg unamdhalilisha
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  mwambie anicheki kwenye no hii 0732 16 66 60.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  Unasema wewe br..sikutaka kuja zaiidi..nilijaribu aagain kumpigia kutaka kumwelekeza anachitaji na nilichomjibu ikapokelewa na mwanaume this time.so yawezekana aana shida ya ukweli si haba akapata kupita mtandao mbaya zaidi nikipiga kwenye simu yangu anapokea anakaaa kimya..nikaona nimsaidie zaidi apate wa kufananana nae..pole kama amekuuma si mbaya unajua ndoa ni ngumu nw days so yawezekana bahati ikamwanfukia jf member nikawa mshenga
   
 5. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
   
 6. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kaka wewe naye kwa ujumla una matatizo,na ndi maana ikawa rahis kwake kukuaproach,ndege wanaofanana huruka pamoja,probably ameona mnafanana,mwisho wa sku atabadili namba kwa upuuzi wako wewe!
   
 7. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  hilo ni pepo likemee kwa jina YESU.....!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  kufanana ni garaama sana mkuu kama umeoa huyo ndie uanefanana nae kulingana na kitabu cha maandiko nilicho nacho kama anafanana kwa kuniangalia basi mkuu nampa pole kwa aliekufanania
  unajua watu kama hawa si kuwaacha lengo unawasaiidia jinsi gan ya kupata mume mwema kutoka kwa bwana na ktk hilo nadhan mwanaume akaapokea nikaona nilipoanza kumweleza huyomwanaume amwambie irenee asome baibo kipengeele...a,b,c,d ikakatwa baada ya hapo nikapiga ikapokelewa na kuwa kimya sikusita wito wangunikamtumia msg akipata muda asome aone mume mwema anapatikanaje

  Binafsi nikueleze hata wewe sikuhizi dunia imearibika ndugu yawezekana hata aliependa ni huyo mwanaume akatumia jinsi ya kuntafuta ndio mana nikakwambia kufanana ni garama sana sana...,Mungu atusaidie na kuturehemu.........Ngoha nikatufatie nyimbo ya mwaitege nikuwekee ule nyimbo ya mume mwema
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  amen mahesabu na si hivyo yaani nimeinyunyizia simu damu ya yesu kabisa ikawasafishe ..
  Unajua watu wamekuwa wabaya sikuhizi ..unaweza jua wanakutafuta wewe kumbe lengo lao kukuharibi ndoa yako nawatangazia moto wa yesu uwaangamize kama wwewe unakatabia hiko kwa ndoa za watu ukome kabisa kabisa tena ulegee kwa damu ya yesu kama kuna mitego imetegwa ikateguliwa kwa damu ya mwana kondoo na kama michoro imechorwa juu yangu ikararuliwe kwa damu ya yesu upako huu utembee na kila mwana jf anependa ndoa yake
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmmhhh Natamani penzi lako.
   
 11. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mmmh! Jamani tunakwenda waapi? Haya mambo tena hapaa?
  Midume ya jf mingapi kwa haka kajinamba kamoja tu au una dhamira ya kuanzisha vita.
  Watu humu ndani tu hamnazo au hujui? Watampigia wangapi na jibu lake litakuwa lile lile au wamtakia shida ya kutukanwaa!
  Tuwe makini jamani ktk post, japo hii si mbaya sana kwani wengine ni wanachama wa kile chama cha ccwt... Enh wakujivua gambaa!
   
 12. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Haya mkuu ila nadhani umemwaga mpunga kwenye kuku wengi na ambao wengine hukukusudia wale mpunga huo!busara yangu inanieleza ungeendelea kuongea nae na kumsaidia taratibu kuliko kuileta huku,ushuhuda ni kwamba nilikuwa wa kwanza kuiona post yako,na nikampigia kutaka kuelewa unachosema,ni bint anaaongea vizuri tu!je kama miongini mwa wana jf wapo baba,mjomba na kaka zake!wataichukuliaje hiyo!Huyo Mungu wako ni shetani amini!hajakuongoza!quotes za bible ni uzushi mtupu kujustify ujinga!SINA NENO MKUU ILA BUSARA INGETUMIKA!NAPITA SIRUD TENA!
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  Ujana ni maji ya moto, jitahidi kuuzima "Usiamshe moto wa mapenzi acha yaanze yenyewe"
   
 14. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Halafu anabahati namba haijasajiliwa hiyo
   
 15. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Heri wapozao katika miili yao kuliko wale waozao ktk mafikara yao... Ni hatari kwa walipo na kule kwa wawadhaniao.!
   
 16. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 509
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Sio kwamba anadhalilishwa ila ndo may be ndo ukweli wenyewe. Kaka umefanya vizuri ila kama kakupenda wewe, atakuwa tayari kuwa na mwingne zaidi yako??????????????
   
 17. E

  Enols New Member

  #17
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M2 makin n lazima awe mwepesi kuyachambua mambo na kupata mwafaka. ukiingia pupa... Lawama hizo!
   
 18. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 509
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Je ingesajiliwa?? Mwacheni huyo bhana labda anamjua huyo kaka vizuri ndo maana.
  maana sidhani kama hamjui angefanaya vile.
   
 19. ram

  ram JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,226
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Kajidhalilisha mwenyewe, tena anawadhalilisha hata wanawake wenzake, umeshaambiwa nafasi imejaa bado unang'ang'ania, ving'ang'anizi wa hivyo ndo dawa yao tena weka na picha yake tumuone mkosa haya huyo!
   
 20. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pole....nadhan huyu kuna kazi maalam anaifanya...hakuna cha penzi wala nini..watch out broda..ametumwa huyu kukuharibia kwa mwandani wako.
   
Loading...