Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,863
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.