People on social media won’t tell you their parents cover their rent. They won’t tell you an old man is funding their lifestyle in exchange for sex. They won’t tell you their “business success”...
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.
Kuna jamaa mmoja akatuma...
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo...
Chombo cha mkuu wa anga
Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅
Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa
Hili dege wanaweza kupanda hadi...
Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..
Ama Kweli Tumetoka...
Wakati TBC Iko live kuna MWANAMAMA ANAREKODI video Hana utulivu kabisa wenzake wote wametulia yeye anajiselfie hao ndio watu wa ccm wasioogopa hata itifaki ya Taifa.
Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze...
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja...
Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka...
Wakuu habari...naomba msaada nielekezeni jinsi ya ku Post thread kwa picha au video
pia jinsi ya ku save picha kwa account yangu
Naomba KUELEKEZWA si kwa ubaya 🙏🏾
Habari mabibi na mabwana, bila shaka ni wazima, na mida hii kila mmoja wetu yupo kwenye mihangaiko yake ya kujitafutia mkate wa kila siku.
Nisiwachoshe sana twendeni kwenye dhumuni la habari hii...
Wakuu mimi ni mchunguzi sana. Nimefanya utafiti na kumfatilia kwenye mwandiko wake na vile anavyocomment kwenye post za wanajf mbalimbali hapa jukwaani na nikapata uthibitisho pasi na shaka kwamba...
Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.