JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siwaoni tena ITV 😔😔😔😔😔 Nisha bila Mizengwe yanakuwa magumu sana aisee!! Wapo wapi hawa kwa Sasa na muda gani?!!!
1 Reactions
6 Replies
333 Views
Wakulungwa mshafika humo hapo Dom enzi hizo, Shilam Disco ilikuwa balaa la mjini. Ilikua dakika mbili tu toka home kufika mle, tumecheza sana break dance mle ndani. Na wale mabinti ukiwakuta mle...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Mapenzi na kubeti yote inatumia hela, lakini cjajua ipi bora kuliko kingine, mie mwenzenu na afadhalisha kubeti kuliko mapenzi sijui nyie.
3 Reactions
30 Replies
1K Views
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja...
57 Reactions
212 Replies
8K Views
Ukimaliza kunyoa uosha kichwa na maji yenye chumvi
4 Reactions
5 Replies
428 Views
Kwa kawaida maisha yetu hutegemea mzunguko wa saa 24, kati ya hizo saa 12 ni usiku, leo nakuletea sehemu sita ambazo jua huwa halizamii kabisa usiku na mchana, twende pamoja.
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
8 Reactions
21 Replies
742 Views
Baada ya kumsikiliza huyu jamaa nimeelewa vitu vingi sana. Mwenye bebi wake aje kumchukua huku
4 Reactions
10 Replies
612 Views
Wakuu mi niseme tu ukweli nikikutana na binti mrembo halafu awe ame pass like a shadow huku nyuma naanza kumuonea huruma. Naanza kumsikitia nikiwaza jinsi anavyojifiria anapokutana na wenzake...
11 Reactions
644 Replies
45K Views
Karibuni home tufuge wote sasa Hhh
7 Reactions
27 Replies
941 Views
💭 💭 💭 💭 💭 💭 Kama una hicho chuma hapo juu, basi pokea pongezi zangu.🙌🏻
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wasalaam. Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri. Iko hivi, Juzi, yaani jumamosi, Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu...
14 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari wadau. Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake...
15 Reactions
17 Replies
732 Views
Katika maisha ya kila siku tunayo yaishi, tunakutana na watu wa aina, asili, itikadi na tabia mbalimbali. Katika hao huwezi kukosa mmoja ambae maneno yake hukera na kukunyima amani. Binafi huwa...
2 Reactions
3 Replies
222 Views
Amani ya M/Mungu iwe nanyi. Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
15 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom