JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu niaje. Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire. Ulitumia kitu gani? Ulichukua hatua gani baada kujua? Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Tarehe kama hii mwaka fulani walikusanyika kwa ajili yetu tukijiingiza kifungoni, ingawa sijui hata kama leo yupo aliyeiweka kwenye kumbukumbu. Hadi naandika hapa, ni mengi tumepitishana. Uzi tayari
3 Reactions
2 Replies
215 Views
Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi?? Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia.. Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu...
11 Reactions
115 Replies
4K Views
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya.... Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama...
43 Reactions
1K Replies
24K Views
Mood imenitoka baada ya kusubiri dili fulani la pesa ila dakika za mwisho mambo yakaenda tofauti Vipi wewe mdau kipi kinakutoaga kwenye mood karibu tushee experience
4 Reactions
37 Replies
978 Views
Hivi umeshawahi kuwa kwenye foleni ya magari hapa dar? Wale wenye magari ya v8, ranger rover, BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti Wenye tax, Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Moja kwa moja. Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao. Pamoja na Mgerasi Busu la...
21 Reactions
70 Replies
2K Views
Mzuka Wana jamvi, yerereeeeeerreereerreereyere!!!!! Bila kupoteza muda. Baadhi ya Nicknames @Magahayo = The Mongolian Savage, Mgerasi , Semenya aka Mabange GENTAMYCINE = Popoma Mshana Jr =...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Pakia abiria na mizigo mingi kwa kutumia maarifa haya https://www.youtube.com/shorts/82dihdK1Fuw
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Ukichunguza mitambo yote iliyopo duniani, utagundua imetengenezwa na wazungu, wachina, wajapani n.k Sasa najiuliza, sisi waafrika pamoja na ndugu zetu waarabu, tumetengeneza mitambo ipi hapa...
0 Reactions
2 Replies
242 Views
1. Copyright ©️ 2. Comedian since 1800s 😃 3. Lil is real 😃 4. Comedy at its peak 🤣 5. Marvel since 1700s 6. Musicians Ancestry 😊 7. Rihanna Husband 👨 8. Fetty Wap Great Great...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
WEKA MAJIBU DEADLY DEADLY PEKEE 😃
11 Reactions
71 Replies
3K Views
Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki). Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka...
57 Reactions
178 Replies
8K Views
Wanaofahamu mkoa wa Mbeya mjini njoo mtujuze! Eti, Mbeya ni jiji kuliko Dodoma? Na, Kitimoto kilo elfu mbili na ndizi tatu bure?
3 Reactions
6 Replies
946 Views
Hapo sijui mshindi ni nani ila kuna mmoja ameshazidiwa kete zote.
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo. Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda...
44 Reactions
202 Replies
5K Views
Back
Top Bottom