Tofauti na kupata elimu pamoja na msawazisho wa mawazo je kuna faida yoyote ya kwenda vacation?
Kesho ni safari ya kutoka Tanzania kwenda Vietnam Hanoi..just for leisure.
Binti wa zamani
Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
Sijawahi kufika Ruvuma...
Habari wadau wa Chitchat
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu...
Ukiona bado unapambana na tabia zako kwa kutegemea kitu fulani kikusaidie katika kuziweka sawa hizo tabia usizozipenda basi jua bado haujakuwa kikamilifu!.
Kukua ni pamoja na kuweza kupambana na...
Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk.
Well, wengine huingia...
Karibuni wadau wote mliozaliwa miaka ya 2000's wadada na vijana wa kiume tuje tupeane michongo mbalimbali ya maisha
Shangazi zetu na wajomba muwepo kutupa ushauri tu na si vinginevyo
Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier.
Mkate wananua mlimani mall tu
Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa,
Nilijuaga members wote humu wamesoma zile...
Wakuu habari,
Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?
Yaani mimi niangaike kutafuta...
Nikiangalia kwenye kioo,
Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed.
Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa...
Kuna wale tulikuwa nikifikisha miaka 30 ntakuwa nimejenga nyumba nzuri, nna kazi nnayolipwa mshahara si chini ya Mil. 5 au nimeajiajiri na biashara yangu inaingizia si chini ya mil. 10 kwa mwezi...
Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi.
Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una...
Hello Chit Chats
Jamani jamani K kumbe inasura mbaya nina kastory kananiumiza kichwa nimevurugwa kisaikolojia kutokana maumbile ya hii eskanunu ahahahahah
Yaani mimi K yangu imejaa mashavu ni...
Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.