Je una swali?
Je una changamoto yoyote?
Je kuna ufafanuzi unahitaji?
Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapa
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!
Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The...
Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost...
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka...
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch jamni maana ndo muda wenyewe huu
Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika...
Wakuu nimekaa hapa nikakumbuka kuna kipindi tulishwahi kutumia chaja ya kobe. Na wenye nazo walikuwa wanaringa vile vile kama wanavyoringa wamiliki wa type C leo hii😂
Kwanini iliitwa chaja ya...
Na hii airtime wanayopata Mara nyingi sio katika kusheheresha shughuli zao bali kudharalilisha uanaume.
Ila siwezi walaumu hawa wadada maana ni watu wa mihemuko na pia hawa vijana hajalazimishwa...
wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha.
Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha.
Hakuna ubaya kuwa...
Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi...
Wanandugu,
Mimi huwa naenda pale Uchumi siku za weekend kununua mahitaji kadha wa kadha. Lakini kuna katabia pale ambacho huwa kinanikera sana. Mara nyingi wale cashier wao hawana chenji ndogo...
Wakuu hali siyo poa, hali siyo safi, hali si nzuri kabisa, katika halakati za kufukuza shilingi leo najihisi kuumwa umwa kabisa. Dar es salaam mateso tupu kwa kweli, mwakani mkisikia nipo kwa...
Wakuu kwema.
Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi.
Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.