Wakuu hali siyo poa, hali siyo safi, hali si nzuri kabisa, katika halakati za kufukuza shilingi leo najihisi kuumwa umwa kabisa. Dar es salaam mateso tupu kwa kweli, mwakani mkisikia nipo kwa...
Wakuu kwema.
Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi.
Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo...
Mzuka wanajamvi
Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu...
1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.
2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi...
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona...
Dar es salaam ni Town City pekee nchini kwetu ambapo unaweza kukutana na watu wa kila aina, asili na tabia tofautitofauti.
Hapa bwana unaweza kumtongoza mwanamke leo, na mkamalizana leoleo bila...
Pamoja na kua na vigezo, ila muonekano wangu ulifanya mkuu wa panel awe mpole sana na kuonesha kuvutiwa na mimi, nilipata kazi kirahisi sana.
Baada ya kuingia kazini, nikawa namkwesikutaka ku...
Kuna wakati mji wa Dar es salaam ulikuwa wenye rotuba for "DREAMERS", sasa hivi ni mji wa "MAKERS"
Kuna wakati vijana kutoka Kigoma walidandia treni kuja Dar, atagongea pa kulala, baada ya...
Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada...
Hapa nilikua naangalia mpira Swansea City alikua anacheza na Nottingham Forest, mpaka dakika 90 Nottingham alikua anaongoza goli 2 kwa 1, zikaongezwa dakika 5 tu zilizopelekea Swansea City...
Wapo watu wengi maarufu na choka mbaya ambao tumezoea kuwaona humu lakini hawapo kwa sasa, Taja ID ya mtu ambae unaona amepatwa na janga hili kama yupo akujibu kwa sauti kubwa NIPO.
Walisema kijana masikini ndio analia lia kuhusu mapenzi,
Ila alivyopata pesa na akazungusha camera kila angle ya nyumba yake akagundua kumbe garden boy anamsugua mke wake.
Love is crazy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.