Mikoa 10 ni migumu sana kutoboa maisha

Mikoa 10 ni migumu sana kutoboa maisha

11. Mbeya
12. Iringa
13. Njombe
14. Kigoma
15. Rukwa

Hio Mbeya nilizuiwa kabisa nikaambiwa komaa huko huko Dar huku ukija hautoboi, sijui aliona nini yule mtu
 
Kigoma hasa wilaya ya Kasulu hela ipo asee,,mzunguko wa hela pale ni mkubwa mno nilipapenda sana
Nafikiri ni kutokana na uwepo wa mashirika yasiyo ya Serikali yanayotoa huduma kwa wakimbizi, ingawa mzunguko sio kivile.
 
Hapo ukitoa Kigoma, Mara, na Simiyu hiyo mikoa mingine mzunguko wa hela mbona upo vizuri tu, we nyoosha maelezo sema ni migumu kutoboa kwa wanaume malaya kwa sababu ya aina ya wanawake waliopo kwenye hiyo mikoa ambayo sijaitaja, ila usisingizie eti hiyo mikoa ndio migumu ilihali kuna watu wanafanikiwa
 
11. Mbeya
12. Iringa
13. Njombe
14. Kigoma
15. Rukwa

Hio Mbeya nilizuiwa kabisa nikaambiwa komaa huko huko Dar huku ukija hautoboi, sijui aliona nini yule mtu
MBEYA,MOROGORO Ukishindwa kutoboa itakuwa hulijui jembe mim naish mbeya huku kyela huku ukijituma unatoboa labda uje kuogelea matema
 
Back
Top Bottom