Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe...
Heshima kwenu wana jf
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa walio zaliwa mwezi bora na mzuri kuliko miezi yote mwezi wenye bahati katika maisha, mwezi maalum kwa watu wasio na makuu na watu,mwezi...
Malaya
Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja
Changudoa
Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga
Kahaba
Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha...
Watu wa Mikoani mtuache kidogo kwanza. Kwanza Tunapozungumzia Dar es salaamu, mjue tunazungumzia sehemu mbili tofauti.
1 - USWAZI na 2 - USHUANI. Binafsi kwangu Dar es salaam halisi ni USWAZI...
Wakuu nahitaji kuoa kwa sasa, kutokana na skendo zinazo endelea mitaani, kwamba yapo majina ambayo hayajatulia katika mapenzi, mfano Mwajuma, Asha Mapepe, Marry, Chausiku na mengineyo, imenifanya...
Yule mshindi wa shindano la Bongo star search (BSS) mwaka 2009, PASCAL CASSIANO
kwa sasa Account yake imeisha na kubakiza hela ya kitabu tu (kama Tsh. 3000), watu wa karibu wa msanii huyo...
Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒
Kanisa...
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua...
Wakulungwa mshafika humo hapo Dom enzi hizo,
Shilam Disco ilikuwa balaa la mjini.
Ilikua dakika mbili tu toka home kufika mle, tumecheza sana break dance mle ndani.
Na wale mabinti ukiwakuta mle...
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja...
Kwa kawaida maisha yetu hutegemea mzunguko wa saa 24, kati ya hizo saa 12 ni usiku, leo nakuletea sehemu sita ambazo jua huwa halizamii kabisa usiku na mchana, twende pamoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.