JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nina uhakika mwamba ameshaleft group 😃 😀 😄
4 Reactions
78 Replies
2K Views
Nimetoa FB tena ya mwezi huu tarehe za mwishoni aisee wakuu si mnisaidie hela ya mlo mmoja tu usiku 😳
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Je una lip la ku share nasi? Maana unaweza kusita kulitoa sasa na ukose muda wa kulitoa milele Usiku mwema mpendwa Tanganyika.. Wewe ndie mama yetu na baba yetu.. Tunakupenda sana
11 Reactions
45 Replies
1K Views
Wakuu, Naombeni kujuzwa changamoto za nyumba kama hizi. Chache nnazozijua: Ukiibiwa hamna shahidi ila ukivusha manzi ndo utajua kama unaishi na milard ayo Kila mtu ni DJ na usimwambie...
3 Reactions
8 Replies
537 Views
Huu sio uungwana hata kama nimelewa nimeagiza ya kuondoka nayo hom, nafika hom nakuta nyama iko hivi , ustaabu gani huu? kwahiyo Nile mindizi nikalale nyama imekua mkaa [emoji49][emoji49][emoji49]...
8 Reactions
35 Replies
924 Views
Habari wadau;; Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda. Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa. Kuna baadhi ya majina kama...
7 Reactions
158 Replies
4K Views
Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma Mwisho yame mshinda mambo ndio ana...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu kwema?? Ni wakiume ( ni around 4-6yrs ),. Ilibaki kidogo nimfukuze alivyoanza kuchuchumaa maana nilijua anataka kunya .. Hakakuniona Kwasabu ya tint Yaani kachululu kake kamesimama Tu...
9 Reactions
31 Replies
822 Views
Weka picha ama clip ya bodaboda yenye maudhui ya kuchekesha ama kufurahisha
1 Reactions
8 Replies
396 Views
Huu mzigo unaliwa jamani au nisijichanganye [emoji116]
2 Reactions
17 Replies
559 Views
My people hope mko poa 1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake? 2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki 3. Ni sayar gani ambayo inazunguka...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
Naulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana. Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako. Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
2 Reactions
7 Replies
351 Views
Tupe ushuhuda kuusu hii kamati ya nidhamu
2 Reactions
8 Replies
421 Views
Ndugu robot Invisible , umeadimika sana baba, nimekumiss, huonekani jukwaani tena. He, umetekwa na wasio julikana? Je umekumbwa na sakata la vyeti feki? Sema neno moja baba na nafsi zetu...
1 Reactions
5 Replies
959 Views
Habarini wadau. Kama ilivyo ada leo mapema asubuhi kichovu nikijongea stendi kudandia usafiri kuelekea kwenye mihangaiko ya kila siku, maana sikuizi unalala umechoka unaamka umechoka sijui labda...
2 Reactions
6 Replies
345 Views
Mara ya kwanza nakutana na binti mrembo ndani ya Gari, Nilikua natoka Dodoma Bush kuja Dar. Safari ilianza saa 10 usiku kutoka bush, kufika saa 1 tulikua Dodoma mjini tukisubiri kubadilisha Gari...
22 Reactions
100 Replies
4K Views
Dunia haikosi vijambo. Jana wakati nipo ndani ya Daladala natoka Kariakoo naelekea Chang'ombe. Gafla hali ya hewa ikabidilika homo ndani, watu wote wakaziba pua na kuanza kujiuliza ni nani...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasalaaam! Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume. Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na...
52 Reactions
2K Replies
111K Views
Kama Video inavyojielezea
2 Reactions
6 Replies
365 Views
Back
Top Bottom