Habari wadau.
Nashukuru Kwa wote mlio nijenga juu ya namna ya kuacha pombe nilipoomba USHAURI MWAKA 2022. Naelekea miaka 4 Sasa bila kunywa pombe Nilikuwa mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaa wa pombe aina...
Mapenzi yafutwe!
Kusiwepo na kitu kinaitwa mapenzi hapa duniani! Kisitambulike duniani na juu kwa...
Ndoa isitambulike kisheria wala kidini!
Kuzungumzia Mapenzi iwe haramu/kinyume cha sheria na...
Nasoma Comment!
Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe.
Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe.
Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu...
Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake
Hawa ni members bora kabisa kwangu...
Mwaka mpya na mambo mapya.wakuu najua mko vyema kabsa.Hebu nataka kuulza kuhusu hawa memba wetu smart911 na mahondaw.Hawa jamaa sijawahi kuona comment zao zikiwa ndefu tangu kuingia kwangu jf. kwa...
Mimi nikisikia kuhusu village people, kinachokuja kichwani ni wachawi na watu wasiopenda maendeleo yako. Yaani wakiona umepiga hatua tu, hao wanakuja kukurudisha nyuma. Utasikia huyu naye...
Duniani kuna mambo yanashangaza sana
Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60
Yaani yeye anashinda anapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.