Nashukuru sijala chakula cha krismass.
Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea.
“Mtu yeyote anayeiga taifa fulani au kundi fulani, yeye ni miongoni mwao.”
(Sahih al-Bukhari...
Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale.
Hii kazi ya...
Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu!
Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni...
Huu ni uzi maalumu wa kutakiana;
Kheri
Fanaka
Afya njema
Mafanikio
Upendo
Amani
Furaha n.k
Na kwakuwa tuko katika msimu wa sikukuu basi si vibaya tukijuzana nyimbo tam tam za wakati huu..Mimi...
Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu...
Huu uzi ukiingia kichwa kichwa utaishia kuwa na hasira halafu utatoka bila bila
Ila ukiwa makini utatoka na kitu hapa
Nimeweka huu uzi baada ya Juzi kuweka tangazo langu la kuuza ac na vitu...
Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani?
Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye...
Usitamani kuwa bora kuliko wengine, Tamani kuwa bora kuliko ulivyokuwa kabla kwani akili huwa ndogo zinaposhughulika na wengine pia huwa kubwa zinaposhughulika na mambo yako.
This December simu za watu kukopa zimekuwa nyingi hadi mtu unaogopa kupokea simu za marafiki hii noma.
Mtu unaweza ukawa na pesa kidogo ya kukutosheleza wewe mwenyewe ukianza kugawia kila mtu...
Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na...
Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho...
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa...
"Ooh ilikuwa iwe hivi"
"Ilipaswa ie hivi"
"Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima"
"sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo"
🚮🚮🚮🚮🚮
Holiday ikiwadia, kila mtu anakuwa na mawazo ya kupumzika. Mitandao ya kijamii imejaa maudhui ya safari resort, fukwe, hoteli za kifahari na picha za vinywaji pembeni ya bwawa. Ndipo nikawaona...
Wakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.