Wakuu kama unajua hotel au Lodge nzuri sana yenye vitanda virefu kuelekea juu tafadhali nijuze.
Na jambo langu makini sana na mrembo mmoja hivi toka Rock city. Kiwe na urefu angalau wa futi 3.7...
Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida
Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp,
Nawapa mbinu mpya za group letu
Mfano maneno
9D
Kutembelea...
Mko poa?
Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi...
Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...😀😃😆😄
Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu...
Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja
Kwa anayejua alipo Bibi yenu...
Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja.
Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu?
Mstari gani wa...
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ndugu yetu,dadaa yetu 'Valentina' ni mgonjwa hivyo kama wanajamii wa CC na MMU tunaombwa kumkumbuka katika maombi Mungu amrejeshee afya njema.
Mungu akushushie...
Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje
Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona...
Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators.
Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF.
Vipi wenzangu mnamiss nini?
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana.
1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.