Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29.
Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.
Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili...
Mzuka wana Jamvi ?
Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto...
Mwandishi wa habari wa Kenya, Alvin Kaunda, alikuwa akiripoti kuhusu ukame na uhifadhi wa wanyamapori katika Sheldrick Wildlife Trust jijini Nairobi, wakati tembo mdogo alipoiba shoo. Akiwa katika...
1. Kuna mtu ananunua simu ya gharama ili wamuone na siyo kuwasiliana.
2. Kuna mtu anatembelea gari la kifahari ili wamuone na siyo kurahisisha usafiri.
3. Kuna mtu anajenga nyumba ya fahari...
Mtu wa kawaida:
Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9.
Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2:
Picha hapo chini ni Mamia ya...
Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura.
Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa...
Watu wa nyota ya Gemini au Mapacha kwa kimatumbi ni waliozaliwa kati ya Mei 20 ........Juni 21.
Watu wa nyota ya mapacha huwa na tabia na sifa zinazo fanana, baadhi ya...
Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya...
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.
Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana...
Jamani, watumiaji wa Internet, naombeni mnijuze kampuni inayojitahidi.
Airtel na modem zao sasa ni kichefuchefu.
Hela unalipa, lakini huduma yao mbovu.
Customer care yao, wana majibu ya ovyo...
Nimemuona mtangazaji mmoja anasema “ni bora kufagia sakafu za mbinguni kuliko kusimamia korido za kuzimu” ikiwa ni ujumbe maalum kwa vijana na wote wanaotaka kuiona Tanzania mpya.
Tubadilishane...
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli
maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe
Iko ivi nilikopa laki...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.