JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Usikubali kutoa jibu pekeako😅😅😅 mi nasema nisingewapelekea bana si nimeshakula mboko zao!! Hii hela kesho yake naenda kuila na Joanah kimya kimya mtaa pili
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
1 Reactions
16 Replies
1K Views
JF Mahusiano👋 Nipo hapa kuuliza swali dogo tu. Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday? Nina Jambo langu...
10 Reactions
113 Replies
54K Views
Niaje wazeiyaaah... EBANA SAWA : Mnajua nini mazee???? Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga... Kumbe aisee mikoani ndio balaa...
11 Reactions
111 Replies
10K Views
Nataka nikasafishe nyota maana nasikia wazungu wanakujaga na baraka tele. Msaada tafadhali. Nina 90 haina kazi Karibuni kwa majibu.
1 Reactions
156 Replies
23K Views
Ndio umekuja kuposwa na familia yenyewe ndio Kama hiyo unavyoiona. Mume mwijaku. Dada ake nyawana wa kwenye mama kimbo. Kaka ake Steve nyerere. Shangazi yake riyama Ali dada wa michambo. Wajomba...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Ubachela huu noma, takea lini sijui nina nguo chafu nasemea tu kufua, Leo mida hii nipo nazichek tu nguo chafu hapa dah! Ila leo itabidi tu nifue Mabachela wenzangu muna-survive vipi na usafi...
0 Reactions
16 Replies
796 Views
Ukiachana na walinzi wetu wa kilinge....kama akina1...........na 2......... Au wazee wetu wa kupiga ban kama akina.......1.......2........3...... Au wale wengine wa Uzi wetu pendwa ule1...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za pande zote. Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town) Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo?? Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku hizi kila mtu analamikia vyuma. Mkuu anasema ukiona vyuma vimekaza weka grease.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh...
1 Reactions
1 Replies
587 Views
Before you show interest in a widow, find out what killed her husband first. -African Proverb
1 Reactions
0 Replies
398 Views
Wadau tumeona nyuzi mbalimbali zikitoa ushauri mzuri huu uzi ni kwa ajili ya ushauri usio na Faida tu , Nitaanza [emoji3][emoji3] "Kama hana hela piga chini" " Wewe ukishindwa acha tu , sio...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa hizi gharama za Mafuta hii gari used namba A Mark two lazima nisingetoboa . Hakika niliona Mbali. Mungu Ni Mwema hi hela naongezea mtaji sitaki tena gari.
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache. Nikiwa hatua chache kufika...
20 Reactions
22 Replies
4K Views
Tafadhali haimaanishi kudharau,au kashfa yoyote kwa Mama yetu mpendwa,kwanza yeye ana ngozi ngumu,Embu pitia comments za anaowaongoza na anachowapigania wanavyofikiri,ufurahie siku yako..
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuuuu poleni na majukum, Kiukweli huwa nikija dar mapumziko ya kikaz hupenda kujirusha viwanja mbali mbali . Lakini samaki samaki masaki wazeee weekend kuna ps kali zinakula bata tupeane...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom