Kati ya Mwanaume na Mwanamke, nani anamhitaji zaidi mwenzake?

Kati ya Mwanaume na Mwanamke, nani anamhitaji zaidi mwenzake?

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,929
Habari zenu wakuu,

Lennaina swali kidogo ambalo ntalileta kama mjadala.

JE, MWANAUME NA MWANAMKE NI NANI ANAMUHITAJI MWENZIE SANA?
 
Ni 50% 50% Fifty fifty!

Hapo Mungu Amebalansi!

Jaribu Kufikiria Ili Lengo mojawapo La ndoa litimie La Kupata Mtoto Lazima wote Muhusike. Muhitajiane

Mbegu ipate Yai na Yai Lipate mbegu. NO SHORT CUT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom