Hawa wake zetu tuwe makini saana

Hawa wake zetu tuwe makini saana

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,246
Jana nilibahatika kukaa home sikua poa kiafya....mida ya jioni hivi nikasikia jamaa na mke wake wanalumbana..(nahic jamaa alifumwa na meseji)...!!sasa imefika kama saa 2 naenda toilet namkuta jamaa yupo nje tukapeana salam....

Wkenye korido nikapishana na mkewe kavaa khanga 1 tuu...!!nkampa salam....!!wakat nakaribia chumba changu akatangaza "Majirani Naenda kuoga jamani"...!!hapo mumewe yupo nje na mke kajazia kweli....nkasema ngjea nitulize tamaa zangu...!!
 
.
IMG_20220320_220035.jpg
 
Back
Top Bottom