JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je, unafahamu nijinsigani mahusiano yamechukua asilimia kubwa kwenye maisha ya mwanadamu?
1 Reactions
13 Replies
699 Views
Intro: Hakuna Shaka Jamii forums ni mtandao mkubwa sn hapa nyumbani Tz .Kwa siku unatembelewa na watu wengi Sana,wengine wakiwa ni guest users Ukiwa humu ndani unasoma au kuchangia nyuzi...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Nilitoka Kijijini kwetu nikiwa na Miaka 18, nikiwa na Miaka 20 nikaenda kuonga jino General hospital Dodoma. Baada ya kungoa nikaandikiwa amoxicillin.. nikawa nafungua vile virangi mbili...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ipo hivi unakutana na demu unamtongoza unampa maneno ya kibao ya kuwa unampenda mara paap anakuomba smartphone yako kuna vitu atakagua kama kweli unampenda au jau tu. Kwahyo Situation utampa simu...
1 Reactions
13 Replies
911 Views
Bila shaka hamjambo. Kabla tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kutupatia uhai na pumzi yake bado tungalipo. Bado dunia inahangaika na covid-19 ,Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ,japo sisi tunapambana...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha...
4 Reactions
87 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu. Ulinzi wa taifa hili ni la wananchi wote na napenda kuishi kwa amani ndani ya nchi yangu. Mimi ni kijana mpole na mbambe ninapochokozwa na huwa sipendi uonevu kutokana na...
17 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu , leo nimeona nianzishe uzi huu wa vunja mbavu lengo ni kuchangamsha akili pale unapoona haupo sawa. Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako...
14 Reactions
11 Replies
3K Views
Usiku wa kuamkia leo mida ya saa 6 hivi niliangukiwa na bahati ya mtende baada ya January kufanya yake. Hapa mtaani Kuna pisi moja Kali kutoka kwa mzee PK inafundisha lugha za kigeni kwenye shule...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU Tafuta hela hata maarage yanapikwa kwa gesi Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama Tafuta hela wewe hakuna mwanamke anaechoka usiku...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
hii siku sitaisahau kwani ilijaa vituko vya kila aina, kwanza nilikuwa nafanya mizunguko isiyo ya lazima si unajua tena kipya kinyemi du nikamaliza akiba yangu yote kwa kuweka mafuta nilizunguka...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Kwa wahenga wa JF hawata jiuliza maswali mengi wakusikia hayamajina. Chabruma, Lizaboni, Mcubic, Msalan. Hawa watu walikuwa ni wapiganaji wa kweli wa CCM, ukimuondoa Mcubic ambaye alikuwa upande...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Umri sio miaka... Leo ni ile siku maalum sana ambapo mrembo bibie NAKWEDE kwa ushirikiano wa watu watatu aliletwa katika ulimwengu huu Wa kwanza ni Mungu baba huyu alitia uhai na kuruhusu uumbwaji...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Tamthilia imekosa uhalisia na mvuto Ila Kuna huyu dada Clara naskia anaitwa Esther Daruwesh ni Moto wakuotea mbali anajua mpaka anajua Tena Halafu mzuri nafkiri bongo movie yote hakuna...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Stori yangu inaanz mbali sanaaaa kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Happy birthday to me [emoji53][emoji53] miaka 50 [emoji318] natimiza now zawadi zenu mniletee PM ila kusherekea b-day bila kwichikwichi ni sawa na Mei mosi tu [emoji39][emoji39]
3 Reactions
11 Replies
878 Views
Kuna pisi siku yake ya kuzaliwa (happy birthday) yake inakiribia mm nataka nimuache maana Hali ya uchumi siielewi elewi
1 Reactions
12 Replies
764 Views
Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom