WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,221
28,667
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka. Tunaonana kwa ajili ya kufurahi, kubadilishana mawazo, kubadilisha mazingira, kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.

Tusibaguane wala kuweka matabaka Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi. Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.

NAWAPENDA SANA!
 
Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.

Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.

Anyway...

Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.

Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..
 
Anyway.......
Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.
Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..
Siyo kibaby mkuu,tuonane kigroups
 
Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.

Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.

Anyway...

Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.

Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..
Mlijikula..🤣
Unyama sana
 
Lakini pia mlitafunana😂😂😂🏃🏃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom