JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana man u wamesha mashindano Yao, Wemebaki hawa wengine wazee kupaki basi, Je wamachomoka? 2-0 leo
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimeona sehem MMU wana timu ya mpira nikaona huyo aliyevaa namba tano nikafikiri nikawaza nkasema au ndo Miss Natafuta na ka wezele kake? Maana ndo alisema anafanya sana mazoezi, Natania tu ila...
4 Reactions
471 Replies
14K Views
Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe. Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Kuna jirani yangu Mung chris alikuwa anaumwa sana akaamua kumtafuta mganga bingwa wa kienyeji ili aweze kumpa tiba. Baada ya siku kadhaa akapatikana mganga maarufu toka Msata mzee Mshana Jr...
11 Reactions
23 Replies
4K Views
kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba. Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibiki ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nwakaribisha katika mkesha wa mshahara mpya baada ya mama kupiga mwingi... Yeyeote mwenye interest aje inbox..
4 Reactions
22 Replies
2K Views
AISEE HII KALI YAANI KUSAHAU GANI HUKU AU NDO NIMEUPIGA MWINGI Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza @Demiss jina tamu sana...
6 Reactions
155 Replies
11K Views
Kazi zilibana sana hivo week hii niko free tena ntakuwapo sana hapa JF Nilikuwa busy kidogo then we can share everything new, Nimetoka zangu Norway ninapumzika hapa Lviv wenyewe wanaita a dining...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa fans wa weekend,na kula Bata,fans wa counter za juu,tuambie uko viwanja gani,tupia ma picha ,video ,tupia mwaliko kwa mtu unaye mkubali ,n.k
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Je, ni kitu gani unawaza kwa sasa? Mi binafsi nimekaa hapa nipo nawaza tu. Je, ni kitu nifanye ili nipate pesa ninue gari ya ndoto zangu ili niendeleze mtanange wa kuwachakata kimataifa. Cc Zero IQ
3 Reactions
9 Replies
569 Views
leo wakati naswaki nimeikumbuka hii daw ya meno ya aha..ilikuja kwa kasi hadi kukawa kuna peni za aha...kwani hii dawa siku hizi ipogo wapi?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari. Naenda Zang...
2 Reactions
6 Replies
795 Views
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani? Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu! Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Habari wakuu natumaini hamjambo Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu 1...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Siku ya juma 3 kuna missed call iliingia kwenye simu yangu majira ya sa 3 asubuhi Nikaituma sms akajibu ni mimi mwanafunzi nilikua nataka kujua kama upo hai Corona umesalimika. Swali la kwanza...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Kiupande wangu sijapata jibu ila nafikiri Mbinguni tutafika tuu kikubwa mkono uende kinywani
2 Reactions
10 Replies
570 Views
Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari. Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom