Hivi huu utafiti unaukweli wowote ndani yake!?

Hivi huu utafiti unaukweli wowote ndani yake!?

chazachaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
2,824
Reaction score
3,846
juzi nilikuwa nimeji hanganya mtaani,katika pitapita za hapa na pale,nikakutana na hii kitu, eti inasemwa kuwa wanawake wenye vinyweleo vingi mwilini (NI rahisi kuwatambua utawaona kwa kuangalia mikononi maana ndo maeneo rahisi kuyaona kuliko miguuni,lkn pia miguuni ) utakuta Wana vinyweleo vingi ) ,hawa wanasemwa kuwa ni wanawake
Wanaopenda Sana kugegedwa(ngono), lakini pia ni pasua kichwa, na si wepesi kufika kileleni yaani Hadi afike inabidi umchakate kwelikweli ndo anafika.

Na hawana uvumilivu wa kukaa muda mrefu bila kuchakatwa!?

Lina ukweli wowote hili!?
 
Sio kweli bhana, ninavyo vinyweleo vingi hasa miguuni ila siko hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom