feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 8,985 Reaction score 18,575 Aug 11, 2026 #1 Salaam,hii ni orodha ya waongo nguli duniani. 1.Mo dewji 2.Viongozi wote wa Simba 3.Wanasiasa 4.Wasichana waliozaliwa kuanzia 2005 5.Madalali. Nawasilisha
Salaam,hii ni orodha ya waongo nguli duniani. 1.Mo dewji 2.Viongozi wote wa Simba 3.Wanasiasa 4.Wasichana waliozaliwa kuanzia 2005 5.Madalali. Nawasilisha
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 22,671 Reaction score 47,393 Aug 11, 2026 #2 Baba yangu Mdinyakobe Kimario naye alikuwa muongo wa kutwapwa. Alikuwa nasema kipindi alipokuwa anasoma hakukuwa na mwanga (taa) wa kusomea kama leo. Ati, yeye alikuwa anasoma (usiku) kwa kutumia mwanga unatokana na sigara iliyokuwa inayovutwa na baba yake. Wazee wengine bhana!
Baba yangu Mdinyakobe Kimario naye alikuwa muongo wa kutwapwa. Alikuwa nasema kipindi alipokuwa anasoma hakukuwa na mwanga (taa) wa kusomea kama leo. Ati, yeye alikuwa anasoma (usiku) kwa kutumia mwanga unatokana na sigara iliyokuwa inayovutwa na baba yake. Wazee wengine bhana!
MSUKUMA02 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 965 Reaction score 2,743 Aug 11, 2026 #3 Ila mashabiki wa Simba😀😀