JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
hapo zamani za kale kulitokea ubishani wa muda mrefu kati ya chupi na socksi nani anapambana na harufu kali,ubishani ulikuwa mkali hadi wakapigana na kuumizana ,eti wanajf hebu tuwaamulie kati ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya kumaliza ibada ya jumapili, padri mmoja alitoka kwa ajili ya kupunga upepo. Akiwa katika matembezi akakutana na watoto watatu wakigombana. Walikuwa wananyang'anyana kitoto cha mbwa. Yule...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila jumatano kuanzia saa 2:30 mpaka saa 5 usiku mpaka watanzania kwa hiyari yenu mtakapo kubali deni la dowans lilipwe. Baada ya kuanza na maeneo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nimekuwa nikiangalia kipindi cha vioja mahakamani kutoka kwa ndugu zetu wakenya they are so creative na kila kipindi kinatofautiana na kingine kweli wanajua sana mambo haya
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Tumetengeneza ringtone mpya ,na anayehitaji andika neno GONGO acha nafasi andika MBOTO kisha tuma kwenda JESHI malizia na alama ya # ,hapo utapokea milio ya mabomu ktk simu yako ,je unahitaji hyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kevin wanted to have sex with a girl in his office, but she belonged to someone else... One day, Kevin got so frustrated that he went up to her and said, "I'll give you a $100 if you let me have...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze kwa kuomba r.i.p kwa marehemu wote wa mabomu gongo la mboto ,na majeruhi wawahi kupona mapema,but kweli vita mbaya yani ktk kimbia kimbia kila mtu kuokoa roho yake kuna mama mmoja amejikuta...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Source: Yahoo friends I am speechless, a must read for all ladies Men please send to all your sisters and wives. My friend Irene, is a PA working in a Lawyer's office in Westlands. Two...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa kijiweni aliona demu mmoja kali sana anakatiza mitaa..jamaa kumuangalia akaona kuwa ana mimba kama ya miez kadhaa.jamaa kamuuliza.dada hio ni mimba? Mdada kajibu ndio kwani kulikoni? Jamaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe. Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
They are stopped by the police John and Jessica were on their way home from the bar one night and John got pulled over by the police. The officer told John that he was stopped because his tail...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear Mr. Bill Gates, We have bought a computer for our home and we have found some problems, which I want to bring to your office. 1. There is a button 'Start' but there is no 'Stop' button. We...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
A young boy askes his Dad,"What is the difference btn confident and confidential?". Dad says, "you are my son,I'm confident about that...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kituko 1947 Meli moja ilizama na jamaa kutahamaki yupo lisiwani peke yake na upanga tu. alichoamua ni kukata miti ili atengeneze chetezo/ngalawa aendelee na safari ili arudi bara. Hamadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
utani: Yaliyomkuta mlokole porini Mlokole mmoja alikuwa anafukuzwa na simba porini. Alipojua kuwa hataweza kumwacha simba akamwomba Mungu ili simba yule naye aokoke. Aliamini simba mlokole...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku moja mlevi alipanda daladala iendayo Gongo la Mboto kwa kujikokota na akakaa karibu na bibi kizee mmoja. Bibi kizee akamwangalia yule mlevi toka juu hadi chini na kisha kumwambia "Mwanangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wawindaji wawili na wauzaji maarufu wa ngozi za chui mkoani arusha walikubaliana kwenda porini kuwinda. Kufika kule, wakafikia kwenye kibanda chao walichokijenga maalum kwa kujihifadhi kipindi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mademu wawili walikuwa wanakoga pamoja ndipo Demu#1 alipopigwa na butwaa Demu#1:He!we mbona hauna ma**zi? Demu#2:We uliona wapi njia inayopitwa kila cku ikaota nyac?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…