Nishushe naenda Gongo la Mboto!

Nishushe naenda Gongo la Mboto!

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Siku moja mlevi alipanda daladala iendayo Gongo la Mboto kwa kujikokota na akakaa karibu na bibi kizee mmoja. Bibi kizee akamwangalia yule mlevi toka juu hadi chini na kisha kumwambia "Mwanangu, nataka nikwambie kitu, wewe utaenda moja kwa moja jehanamu". Mlevi kusikia hivyo, akang'aka na kusema " Ahsante Bibi kwa kunisitua. Konda nishushe mie siendi jehanamu naenda Gongo la Mboto"
 
Back
Top Bottom