creativity

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
nimekuwa nikiangalia kipindi cha vioja mahakamani kutoka kwa ndugu zetu wakenya they are so creative na kila kipindi kinatofautiana na kingine kweli wanajua sana mambo haya
 
Kibweka, hata Watanzania wako creative kuliko hata Wakenya, tatizo letu ni mitaji mikubwa na darring heart, uthubutu.
 
Kibweka, hata Watanzania wako creative kuliko hata Wakenya, tatizo letu ni mitaji mikubwa na darring heart, uthubutu.
Nashukuru kwa kuwa umeelewa tatizo lilipo la watanzania
 
Back
Top Bottom