Tamko jipya la serkali kuhusu mabomu ya gongo la mboto!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko jipya la serkali kuhusu mabomu ya gongo la mboto!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mawenzi, Feb 20, 2011.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila jumatano kuanzia saa 2:30 mpaka saa 5 usiku mpaka watanzania kwa hiyari yenu mtakapo kubali deni la dowans lilipwe. Baada ya kuanza na maeneo ya gongo la mboto, kitunda, kivule, karakata, segerea, majohe, tabata. Jumatano ijayo tutapeleka mashambulizi maeneo ya kimara, mbezi, ubingo, mwenge, sinza, kijitonyama na kwa uchache maeneo ya manzese. Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika!
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Pia ukiona kitu si cha kawaida jaribu kukilipua na ukiona hakilipuki basi ni scraper chukua kauze ila kikilipuka jua ni bomu! Pia fanya jitihada juu chini ukajiunge na mgambo ili kukabiliana na milipuko mpaka dowans itakapo lipwa
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani 'mipango' ni kulipuka dar peke yake ama na mikoani?
   
 4. t

  truth Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Happly Joking because you don't have any concern for those who lost their lives due to the incident. you have lost the moral regard for humankind!. what is the difference between you and a dog for instance?. A dog has no moral values! .
   
 5. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  ......baada ya kumaliza Dar, enyi wakazi wa huko Dodoma maeneo ya Veyula, Msalato mpaka Mnadani mjiandae kwani mabomu yatalipuliwa pia.

  Huko huko Dodoma, pia maeneo ya Ihumwa, Chadulu, Nzuguni hadi Makole Kaeni chonjo na muanze kuchukua tahadhari juu ya milipuko hiyo.

  Enyi wakazi wa DOM muda ni ule ule kama ilivyokuwa Gongo la Mboto, yaani saa 2:30 hadi saa 5:00!!
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Radio mbao.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  AREA C,AREA D na uzunguni JE?
   
 8. P

  Pokola JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Paolo!!!
   
 9. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Bajabiri,

  Kwavile watalipua na Ballistic Missile; hata huko Area C, Area D, Uzunguni hadi Chinangali West.... nao pia waanze mazoezi ya kukimbia mapeeeeemaaaa.

  Maana ktk hili wameona ni bora kuyalipua wao kuliko kusubiria yalipuke yenyewe!!!
   
 10. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tutaendelea na utaratibu huo mpaka Mkwere ajiuzuru hii ndio stairi yetu mpya ya kugoma,
  Kwa sababu Mkwere anatudharau sana sisi wanajeshi wa chini, tutamuuonyesha umuhimu wetu
   
 11. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Don' panic, its jokes ma dear
   
 12. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Sometime tunatakiwa tucheke sioni cha ajabu!, usikasirike
   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  duu... Kwel kwastail hii itabid 2lipe den
   
Loading...