Mja mzito amuabisha msela.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Jamaa kijiweni aliona demu mmoja kali sana anakatiza mitaa..jamaa kumuangalia akaona kuwa ana mimba kama ya miez kadhaa.jamaa kamuuliza.dada hio ni mimba? Mdada kajibu ndio kwani kulikoni? Jamaa kutaka kujionyesha mbele ya masela wenzake kamjibu mdada..oow! Imekupendeza sana dada..dada nae akaamua kumuachia ya mwaka.kamjibu shukrani kaka lakini alieitunga hii mimba usemayo imenpendeza mbona hayupo mbali.ukitaka nifuate nae akakupe yako kama hii...!!
 
lakini itakuwaje uone mimba na uulize "ati hiyo mimba?", kwani kina mama nao wana vitambi?
 
:doh:...huyo dada nae ni hatari kwa majibu machafu ya papo kwa papo ya kudhalilisha. Msela nadhani alijisikia
A%20S%20thumbs_down.gif
. huenda hakumwambia vile kwa nia mbaya
 
dem hana kauli nzuri!ila it z blvd gals wngne wakiwa na mimba wanakuwa na hacra in real lyf.
 
hilo jibu linaendana exactly na swali alilouliza, huyo binti amemshikisha adabu siku nyingine atafunga bakuli lake
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom