new ringtone

new ringtone

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Tumetengeneza ringtone mpya ,na anayehitaji andika neno GONGO acha nafasi andika MBOTO kisha tuma kwenda JESHI malizia na alama ya # ,hapo utapokea milio ya mabomu ktk simu yako ,je unahitaji hyo ringtone mpya ama ?
 
Patam pale itakapoita usiku ukiwa ucngzn maana hutajua kama ni sim tena, utakuja kumbuka ukiwa nje mwenyewe
 
hizo ringtone hapana, unaweza kujipa pb na shel juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom