Hawa Si Waaminifu kabisa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Si Waaminifu kabisa!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Katavi, Feb 2, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe. Wakiwa njiani
  waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda
  kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu kwenda kula ule
  uyoga wakihisi unaweza kuwa si uyoga wa kula.
  Basi wakaamua wapike uyoga kidogo,na kiasi waubakishe, halafu ule waliopika wampe mbwa wao, asipokufa mbwa basi ule waliobakisha nao wale.
  Mbwa akala uyoga ule. Wakakaa siku ya kwanza,ya pili, mbwa hajafa
  wakaamua wapike ule uyoga uliobakia nao wakala.
  Walipomaliza kula tu, mara mtoto wao wa kiume akaingia ndani akitokea shule, na kuwaeleza wazazi kuwa amemuona mbwa wao amekufa.
  Wazazi wakapigwa na butwaa wakijua basi nao mwisho wa maisha yao umefika, na muda wowote watakufa tu kwa kuwa nao wamekula uyoga kama mbwa alivyokula.
  Basi yule baba akaamua kumwambia mkewe anaomba atubu mbele yake kwa
  kuwa kifo kinamjia wakati wowote. Jamaa akaanza kumwambia mkewe amsamehe kwani ni maovu mengi alifanya. Kwanza msichana wa kazi waliyemfukuza akiwa na ujauzito, ule ni ujauzito wake. Mdogo wake na mkewe wa kike anayeishi naye pale ni mpenzi wake wa siku nyingi. Pia ana watoto wengine watatu nje ya ndoa, na kila mtoto ana mama yake.
  Mama akasema nashukuru kwa hayo yote, Basi naomba nami nitubu Kwako.Huyu mtoto wa kiume mdogo si wako nilizaa na Shamba boy wetu na huu ujauzito nilionao sasa ni wa mpangaji wetu humu ndani.
  Jamaa kusikia hayo akapandwa na jazba ukawa ugomvi mkubwa mule ndani.
  Wakati wakigombana, mara mtoto wao wa kwanza wa kike akaingia ndani na kukuta wakigombana. Akawauliza ,Baba na mama mnagombania nini humu
  ndani,badala ya kwenda kuona mbwa wetu amekufa kwa kugongwa na gari kule nje?
  Wazazi waliposikia kuwa mbwa amekufa kwa kugongwa na gari walibaki wanatazamana na kupigwa na bumbu wazi.
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  gotchaaaa....ahhahhaaa..thanks man
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuuuhhhh Sante Mungu hakuna binadamu awezae kusoma akili yatu.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?
   
 5. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenivunja mbavu leo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Umeonaeee wanaume wanafikiri utamu wanaujua wao tu
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmmhhh, hii post yako:twitch:!!!!! no comment...
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wanawake nao wanaujua....
   
 9. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Thanx Dawg!!!! u have made ma day
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  du!!siku imepita!
   
 11. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #11
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du ngoma droo lkn inauma????!!!! sasa huyo mpangaji namfukuza
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  It saves them right!:clap2::clap2::clap2:
   
 13. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #13
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapo ngoma droo, ni kuanza upya tu
   
 14. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapo hakuna wa kumlaumu mwenzake ngoma droo la sekondari wasahau yote na waanze upya!
   
 15. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  safi sana.
   
 16. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Hii nilishawahi kuisoma sehemu, lakini hata hivyo nilivyosoma tena bado nimeendelea kucheka. Thanx buddy.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mh,cheating,cheating,cheating ni DONDA NDUGU KWA WALIO KWENYE MAHUSIANO
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Unaweza!!!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa....
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mnaona wanawake wenzangu sio mumeo anatoka weye wenda pigana,tafuta muwa wako pembeni ujifonzee tartiiibu:wink2:
   
Loading...