JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja ambaye alikuwa ni cha usingizi sana, siku moja akiwa kanisani nyakati za usiku mchungaji akiwa anahubiri, jamaa kama kawaida akapata usingizi, lakini kutokana na muda huo kuwa usiku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Death came to a guy and said, "my friend, today is your day". The guy said, "but I am not ready". Death said, "well you are next on my list". So the guy told death, " that's ok; why don't you...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Mfungwa mmoja baada ya kutoroka jela,alikuwa akitembea barabarani huku akiwa kavaa uniform za kifungwa.Mara ghafla mbele yake umbali wa mita 200 akaliona gari la polisi likimjia.Uamuzi aliochukua...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kijana mmoja mmoja wa kikurya alio Mwanamke wa kabila la kisukuma akamfundisha kuzungumza kikurya hivyo mwanamke yule akawa ameifahamu vizuri luugha ya mumewe na wanawe akawa anaizungumza kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Phd
1. PHD- Permanent Head Damage. Hii hasahasa ni kwa hapa Tz maana kwa mtazamo wangu wengi wa PHD holders hawajasaidia nchi kwa lolote zaidi ya kusaidia ma2mbo yao. Kwa kujijali wao binafsi huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani my funs just help me kuna dem nilimtongoza kwa kumtania but alikubali yani kaniganda kama ruba pili nikagundua kama ananizidi ums
1 Reactions
44 Replies
4K Views
wadau baada ya kuwadondoshea thread iliyohusu kuhitaji ajira usalama wa taifa,hapa tena nashusha nyingine. kwa wale wenzangu na mimi wanaoutumia usafiri wa daladala sio wageni wa hili jambo.mimi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nilikua naangalia kipindi cha cha Spora ndani Star television mwendesha kipindi alikuwa anafanya maojihano na mtaalamu wa kupiga picha za magazeti na blog Muhidin Issa Michuzi. Mwandishi alikuwa...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimekumbuka nilipoingia kidato cha kwanza shuleni kwangu tulikuwa tunaitwa Nyoya,nakumbuka kuna kijana mmoja mwenye asilia ya kisomali ambae alipata kuja kuwa maalufu sana wakati huo aliiingia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu tufikirie huu msemo.. 'MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA'...je umetimia kwa asilimia ngapi? Tukumbuke utawala wa Nyerere.. Kipindi kile kulikuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya viongozi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A little boy asked his father, 'Daddy, how much does it cost to get married?' Father replied, 'I don't know son, I'm still paying.'
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajanvi, Leo majira ya mchana wadiwani watatu kati ya watano waliopigwa chini na CDM Arusha walinusurika kula kichapo maeneo ya OTTU mjini kati katika eneo ambalo huwa limejaa wafanyabishara wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
‎(1) FINE: This is the word women use to end an argument when she knows she is right and you need to shut-up. (2) NOTHING: means something & you need to be worried. (3) GO AHEAD: this...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi niko Primary nilikua nasikia Ugomvi kati ya Azania na Tambaza..miaka ya 90"s....bahati nzuri au mbaya..nami nikachaguliwa..kusoma pale Azania..sasa..kulikuwa na ile michezo ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna kijana mmoja alikuwa kibaka sana hapa duniani na alipofariki na kuzikwa akatokea mbinguni. Akiwa mbinguni akakuta watu wengi wakikabidhiwa tiketi kwa ajili ya kwenda aidha peponi au motoni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu. "Friends, jana...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
You saw a shirt for £97. You didn't have enough cash so you borrowed £50 from your mum and £50 from your dad =£100. You bought the shirt and had £3 change. You gave your mum £1 and your dad £1...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
sidhani kama kuna tafiti mahsusi juu hili.nafaham matajiri wetu wengi wa kitanzania kwa sabab wanazo zijua wao wenyewe hawapendi kuweka hadharani utajiri wao. sasa kazi kwetu waana JF bila...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
....hivi inakuaje mtu anaweza kucheka hadi akalia lakini asiweze kulia hadi akacheka ??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa wawili walienda msituni kuwinda.Walipokuwa huko walifanikiwa kumuua swala mmoja.Wakiwa katika harakati za kumbeba,mara ghafla wakashambuliwa na nyati na mmoja wao kujeruhiwa vibaya.Jamaa...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…