Spora Host: Eti Wachaga ni Wazuri kwa Kusoma Gazeti?

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Nilikua naangalia kipindi cha cha Spora ndani Star television mwendesha kipindi alikuwa anafanya maojihano na mtaalamu wa kupiga picha za magazeti na blog Muhidin Issa Michuzi.

Mwandishi alikuwa anamuuliza moja ya maswali yake ni kuhusu kauri zake zinazokuwa zinatumika kwenye blog yake ya Picha.Maneno hayo yanayotumika ni kama Libeneke,Waosha vinywa nk.Katika maojianao haya ilionekana kama mwendesha kipindi ni binti toka uchagani.

Michuzi nae akamuuliza msemo huu wa kuwa "Wachaga ni Wazuri Kwa kusoma Gazeti" je ni kweli?Binti akakauka kicheko kuwa misemo ya Michuzi bado aijui pamoja na kutaka kujua maana ya misemo ya michuzi.

Msaiidieni binti huyo kumjibia swali hilo toka kwa michuzi

Nawasilisha
 
hiyo, inamaanisha nini??! mimi naona nifikiria tofauti na nisije nikaudhi watu
 
Ni kwel wachaga c maarufu sana katika iyo field njoo kwnye "kitabu" na "biashara" utapenda mwenyewe!
 
Bibie wa Kichaga siajabu akiwa anabadili chanel kwa rimoti katikati ya mechi. Hapo ujuwe amechoka kusoma gazeti wakati wewe unajitahidi kutafuta kilele cha ule mlima uliopo kule kwao ye hana habaaaari... Ha ha haaa!
 
Kweli nimeamini MUNGU hawezi kukupa vyote wala kukunyima vyote na ndo maana shuka halina mifuko.
 
Bibie wa Kichaga siajabu akiwa anabadili chanel kwa rimoti katikati ya mechi. Hapo ujuwe amechoka kusoma gazeti wakati wewe unajitahidi kutafuta kilele cha ule mlima uliopo kule kwao ye hana habaaaari... Ha ha haaa!
<br />
<br />
Hakuna ukweli ktk hli mdogo wngu first n lazima ujue wachaga ndo warembo tz pga ua,chek anga zote za urembo ka utamkosa mchaga niulize,n vyombo kwel,afu mapenz a man should teach yo girl mana wengi wanakuzwa kimaadil cna ndo mana weng ni vibikira afu watamu kama kisusio arifu
 
Kweli wasichana (na wanaume)wa kichaga, "they are cold." Maana kwa asili hawapapalikii mapenzi na tena si unaona zile ngoma zao za asili jinsi wanavyozicheza kwa kuinamisha na kuinumia migongo tu. Sasa mtu atajuaje hata kukatika kwa style hiyo. Yale makabila ya wapenda ngoma na kukata viuno, ndio anga zao hizi. Ila ni rahisi kujifunza, lakini kabla hujawekwa ndani.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Hakuna ukweli ktk hli mdogo wngu first n lazima ujue wachaga ndo warembo tz pga ua,chek anga zote za urembo ka utamkosa mchaga niulize,n vyombo kwel,afu mapenz a man should teach yo girl mana wengi wanakuzwa kimaadil cna ndo mana weng ni vibikira afu watamu kama kisusio arifu
Tuna utaratibu humu jamvini namna ya kuitana... Nakuonya usirudie kuita yeyote humu eti mdogo wako! Kwa heshima yako na yangu. Natambua hatujuani kiumri lakini weka heshima mbele Mkuu! Huwezi juwa.
 
Tuna utaratibu humu jamvini namna ya kuitana... Nakuonya usirudie kuita yeyote humu eti mdogo wako! Kwa heshima yako na yangu. Natambua hatujuani kiumri lakini weka heshima mbele Mkuu! Huwezi juwa.

Polepole kesha kuelewa Mkuuu!!!!!!!!!!!

Anasema mabinti wakichaga wanaongoza kwa uzuri lakini hakutwambia kuwa pia wanaongoza kwa kusoma magazeti ama?
 
akuna ukweli ktk hli mdogo wngu first n lazima ujue wachaga ndo warembo tz pga ua,chek anga zote za urembo ka utamkosa mchaga niulize,n vyombo kwel,afu mapenz a man should teach yo girl mana wengi wanakuzwa kimaadil cna ndo mana weng ni vibikira afu watamu kama kisusio arifu

i like that!!!!! that very true tuna maadili ya kidini that's why hatujui sana hayo mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom