Phd

Phd

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
1. PHD- Permanent Head Damage. Hii hasahasa ni kwa hapa Tz maana kwa mtazamo wangu wengi wa PHD holders hawajasaidia nchi kwa lolote zaidi ya kusaidia ma2mbo yao. Kwa kujijali wao binafsi huku madini ye2 wakigawa kwa wageni ni kutokana na hiyo head damage.
2. PHD-Predicted Heaven Dweller. Hii ni kupitia kumwamini Bwana Yesu kama mwokozi wa maisha yako.
3. PHD-Predicted Hell Dweller. Hii ni kumkana Bwana Yesu kama mwokozi wa maisha yako na kuamua kutenda mambo ya ajabu ajabu.
kwa mtazamo wangu, hizo ni tafsiri 3 za neno PHD.
 
may be kwa mtazamo wako

Back
Top Bottom