Unalikumbuka Jina Lako Ulipoingia Kidato cha Kwanza Shule ya Sekondari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unalikumbuka Jina Lako Ulipoingia Kidato cha Kwanza Shule ya Sekondari.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DSN, Aug 10, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nimekumbuka nilipoingia kidato cha kwanza shuleni kwangu tulikuwa tunaitwa Nyoya,nakumbuka kuna kijana mmoja mwenye asilia ya kisomali ambae alipata kuja kuwa maalufu sana wakati huo aliiingia darasani akiwa amevaa koti tukajua ni Mwalimu tukaamka full respect na kumwagia bonge ya salam Gooooooooood mmmmmmmmmmorning Sir!!!!!!!!!!!!!!!.

  Ndie alietupiga mkwala akitwambia definition ya jina letu hapo shuleni kuwa tunaitwa NYOYA kuwa jina lako limeandikwa kwa chaki kwenye ubao wa ofisi ya Mwalimu mkuu na kama akiinuka shati lake likafuta jina lako ukutani jua autambuliki kuwa unasoma hapo shuleni.Wenyewe tumetulia tuli kimya tukiamini ni Mwalimu.Kumbe ni jamaa tu anasoma kidato cha tatu kaja kutuchimba biti.

  Nilichojifunza ni kuwa kumbe walimu wanajua uwepo wa matukio hayo na wanayaacha yatokee ile nanyi mkue na kujifunza mambo fulani ingawa kwa wengine uwa ni kero iliyopitiliza kama kupewa shilingii mia ukanunuee kipande cha sabuni au pakit ya sigara.

  MwanaJF wewe jina lako lilikua nani.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,112
  Trophy Points: 280
  sekondari za kata hamna mambo ya kuchapana wala kuitana majina ya hovyo
   
 3. K

  Karry JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  dah ilikuwa raha sana enzi hizo nilikuwa shule moja maarufu ya serikali pale moshi , wao ilikuwa form one lazima ubaitzwe na kupewa a.k.a
   
 4. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  kumbe ndio maana wanachezea ziro [0] kwa kuwa wamelala hawakuamshwa
   
Loading...