JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
madereva wawili walikua wanaendesha magari kuelekea kwenye daraja ambalo ni gari moja tu lina uwezo wa kupita...! walikua wanaenda kwenye opposite direction yani huyu anaenda kule na mwingine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hii ni mitaa ya k/koo wana jamii..! dogo mmoja alikua na mama yake wanatafuta vitu vya kwenda kutengeneza futari kama jinsi wakati ulivyo si mnajua wenyewe..!? sasa hapo sokoni mbele ya mama na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani nina swali,kuna jamaa aliona shati zuri inauzwa buku,akaazima jelo kwa mama na jelo kwa baba.Alipoenda kununua shati akapunguziwa bei ikawa 970,jamaa akaona bora apunguze madeni,akalipa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
1. We got off the Titanic first. 2. We can scare male bosses with mysterious gynaecological disorder excuses. 3. We never ejaculate prematurely. 4. We get to flirt with systems support men who...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Juzi kaka anayetusaidia kazi alikamata panya watatu mmoja mkubwa, wawili wadogo lakini mkubwa na mdogo mmoja akawaua akampa paka wangu ambaye naye amezaa watoto watatu akawala wale waliokufa...
0 Reactions
72 Replies
11K Views
Nilikuwa darasa la kwanza. Mwl wa hisabat akaingia. Akaandika swal la kujumlisha ubaon,, ukauliza anayejua kufanya swali apite mbele afanye swal. Nikapita nikafanya swal. Bahat mbaya nikalikosa...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
.....Huko zimbambwe wajamen, kuna kampen kuwafanyia tohara a.k.a Circumsicion waheshimiwa wabunge ili kuweza kusaidia kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi, kampeni inayoendeshwa na taasis ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nipo chini ya uangaliz maalumu nisiingie kusoma makala ya JF hasa ktk jukwaa la siasa. Kila ninapozisoma napata uchungu mpaka nazimia. Hii ni kutokana na uchungu nilionao. Pia kutokana na madudu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamaa aliota yuko peponi akataka kuvuta sigara lakini akakosa moto wa kuwashia sigara yake, akatoka kwenda motoni. Alipofika kwenye mlango wa motoni aliwakuta walinzi na kuwaomba kuingia ili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna mchizi mmoja nilikua nina xcul nae o level..! jamaa alikua mpare..! sasa kuna watoto flani walikuja kutoka USA kwenye exhibition flani hapo xcul kwetu..! jamaa hakukalazia damu kamanzi flani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
A first-grade teacher, Ms Brooks was having trouble with one of her students. The teacher asked, "Harry what is your problem?" Harry answered, "I'm too smart for the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A nice, calm and respectable lady went into the pharmacy; walked up to the pharmacist looked straight into his eyes and said ' I’d like to buy some cyanide" The pharmacist asked "Why in the world...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kipofu mmoja alikua amembeba kilema..! the thing ni kwamba kilema alikua anamsaidia yule kipofu kuona..! na kilema alikua kilema wa miguu..! alikua hana miguu yote miwili..! so alikua anakaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
haya..haya...haya..hayaaaa!!! wanajamii..! kwanza nawatakia ..EID MUBBARAKH... hii ni kali ya leo.. kama kawaida yangu mzee wa mitaani..! leo nimepata kitu flani bwana kilitokea mitaa ya mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tcu
Kalekanjia wajanja walichokua wanatumia kujua vyuo walivyo chaguliwa tcu wamekashitukia kabla mim sijajua nimepangwa wapi...yeyote mwenye newz kutoka tcu plz help
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Ni sahihi kwa form 6 leaver kupiga tempo la advance?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumsifu yesu kristo wakuu!!kuna mdada mmoja 2nasoma wote chuo kimoja,kuna kipindi flani ilitokea akawa ameuwawa{kaishiwa pesa} akaja akantel nimkopeshe kiasi flan hvi kwa makubaliano kwamba aftr 2...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Pengine hili hujui si kwambii uachane nao la hasha omba umwone dk akusaidie kuna mabinti na makaka wengi masuperstar wameteseka sababu ya kkumwa magonjwa ya zinaa mara kwa mara na wengine kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views

happy
Eid
Day

hug and wishes 2 all jamii f, may this holy day bring happiness and blessing
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…