ukimaliza unipe na mimi..!

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
madereva wawili walikua wanaendesha magari kuelekea kwenye daraja ambalo ni gari moja tu lina uwezo wa kupita...! walikua wanaenda kwenye opposite direction yani huyu anaenda kule na mwingine anakuja....! sasa kwa ubabe wote wakaingia kwenye daraja kila mmoja akijiamini kua yeye ni mbabe zaidi ya mwenzie..! walipofika kati kati ya daraja wakawa wamekaribiana sana mmoja akazima gari kuonyesha ubabe zaidi ya mwenzake..! basi na huyu nae akazima gari..! mmoja akatoa gazeti na kuanza kusoma kuonyesha kua wala hana haraka...! basi yule mwingine akamwambia huyu alie toa gazeti...."ukimaliza kusoma nipe na mimi......!"
 
Alafu baada ya hapo gari zote zikatae kuwaka itakua je sijui
 
Hao madereva watakuwa ni wahehe,manake wajukuu wa mkwawa wana misimamo ya kifala sana!
 
madereva wawili walikua wanaendesha magari kuelekea kwenye daraja ambalo ni gari moja tu lina uwezo wa kupita...! walikua wanaenda kwenye opposite direction yani huyu anaenda kule na mwingine anakuja....! sasa kwa ubabe wote wakaingia kwenye daraja kila mmoja akijiamini kua yeye ni mbabe zaidi ya mwenzie..! walipofika kati kati ya daraja wakawa wamekaribiana sana mmoja akazima gari kuonyesha ubabe zaidi ya mwenzake..! basi na huyu nae akazima gari..! mmoja akatoa gazeti na kuanza kusoma kuonyesha kua wala hana haraka...! basi yule mwingine akamwambia huyu alie toa gazeti...."ukimaliza kusoma nipe na mimi......!"

kali sana! lakini ni bora walivyoamua hivyo kuliko kutukanana au kupigana, atakaechoka kusubiri atarudi nyuma kumpisha mwenzie na safari inaendelea!
 
Back
Top Bottom